Dogo Aslay Ndani ya Penzi Zito na Naima, Naima Ajichora Tatuu ya Jina la Aslay

Jamani Mahaba Kitu Kingine , Mwanzo tulijua Nuhu Mziwanda pekeake ndio mwenye ujasiri huu wa kujichora tattoo ya mpenzi wake ..lakini sasa list imeongezeka , Mrembo Naima nae avunja Ukimya , Ajichora Tattoo ya mpenzi wake Dogo Aslay .
Naima ni yule binti aliyekuwaga kwenye beef na Wema Sepetu wakimgombania CK..
Je unaushauri Gani kwa Dogo Aslay ?

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aache mambo ya kijinga badala yake asome shule

    ReplyDelete
  2. Naona wanafanya hvyo ili kuwachota akili hao wenzao na kwamba wawe wanawapa stress kila wakitaka kuwapa vibut wawaze na tattoo je!na Huyo NAIMA SI ALISHAJICHORA TATTOO YA CLEMENT wakat ana bif na wema!
    1 Comment to her----------- SHE IS A WHORE,A PAPER SNITCH

    ReplyDelete
  3. Mimi sioni cha ajabu. wajipange vizuri tu kimaisha kwani fainali ni uzeeni.

    ReplyDelete
  4. Lenye mwanzo lina mwisho. Angalia mwisho usiwe mbaya.Maisha siku zote ni kujipanga. Mapenzi mbwembwe tu. Na ni mazuri kwa mtu mwenye future na wewe. Maisha huwa yanabadilika, jipange na kufanya matumizi yenye tija kwani majuto ni mjukuu.

    ReplyDelete
  5. Je; Dogo Aslay kaachana na mke wake wa ndoa kisha kaendea Neima...Boi adivaisi ya bure mrudie mke wako n toto lako bana acha za Naima na za ovyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad