Stori: Hamida Hassan
Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ amewafungukia watu ambao wanamponda yeye kutinga na ‘pampers’ ukumbini na kusema kuwa hiyo ni moja ya maamuzi yake binafsi.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Faiza aliyetinga vazi hilo katika siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni, alisema kuvaa vile hafikiri kama kuna ubaya kwa mtu yeyote kwa kuwa kila mmoja ana maamuzi yake na hakumdhuru mtu.
“Mimi na maamuzi ya kuvaa chochote ambacho najisikia na kama hakina shida na mtu nakivaa na kuvaa vile ni moja tu ya kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa na nilitaka kuwa tofauti,” alisema Faiza kuwajibu wadau mbalimbali ambao wamekuwa wakimponda mtandaoni juu ya tukio hilo.
GPL
Faiza Awacharukia Wanao Mponda Kwa Kuvaa Pampers Siku ya Kuzaliwa Kwake
5
January 12, 2015
Tags
Ahh embu muachane huyu mtafuta kiki kwa nguvu.
ReplyDeleteanatafuta ustar kwa nguvu haha hahaa !!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteAnatafuta ustaa huyo, hana adabu kabisa na nyie msimuandike tena maana anaona raha akiona jina lake kwenye magazeti. Eti unaamua kuvaa utakavyo! Mungu amekupa akili ili uitumie vizuri si kufanya mambo ya kijinga mbele ya jamii alafu eti nina maamuzi yangu binafsi lo, huna aibu kabisa wewe, unavaa pumpers unajikojolea au unajinyea. Sitaki kuona mkimuandika tena huyu mjinga maana mnampa kiki.
ReplyDeleteHA HA HA HA ANACHEKESHA KWELI !!!
ReplyDeletemungu akuongoze maskini mpaka huruma binti mwenye thamani hakai uchi isipokuwa binti alioishiwa soko muogope mungu we binti iko siku utaingia kaburini peke yako utajibu nini kwa mungu wako hivi kweli una wazazi dah au we ni yatima dah basi hata kaka huna faiza duh bora ungekuwa mary au jesica
ReplyDelete