Mwigizaji wa filamu alietoa kali ya mwaka jana kwa kuvaa Diaper wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa, Faiza Ally leo ameibuka na picha akiwa ufukweni amevalia vinguo vya kuogelea huku pembeni akiwa na mtoto wake nakudai kuwa bado ana mvuto hata baada ya kuzaa mtoto.
“Hata baada ya kuzaa naona niko sexy ile mbaya kudadadeki!!!!” Faiza aliandika
Haya hebu jionee na umwambie kitu mama huyu mwenye mvuto.
Chanzo:Bongomovies
Biashara matangazo ati!!
ReplyDeleteWw kweli malaya ndio maana umeachwa
ReplyDeleteKwendraaaa huko mvuto wakati nido zimelala
ReplyDeleteNi kweli ila jiheshimu kdg!
ReplyDeleteMvuto gani huo, unatishaje!!!!!!!!! kavae nguo haraka
ReplyDeleteUmalaya mwingine!,yaani jitu hata alioni aibu.
ReplyDeleteUmalaya mwingine!,jitu alioni hata aibu.
ReplyDeleteUmalaya mwingine!,jitu alioni hata aibu.
ReplyDeleteAcha kujishaua
ReplyDeleteHata aibu uoni? Umekuwa mtu mzima sasa.
ReplyDeleteHata aibu uoni? Umekuwa mtu mzima sasa.
ReplyDeleteMtoto ameshangaa mpaka huruma
ReplyDeletebado haamin kama kaachwa huyo. anatapatapa
ReplyDeletehaamin kama kaachwa kwahiyo anatapatapa, tulia ulee mtoto mama
ReplyDeleteMtu mzima ovyoòooo bora umeacha kwa kujiweka uchi ndio utaludiwa au unazidi kuhalibuuuu
ReplyDeleteMr sungu umezaa na changudoa bora umestuka ukamuacha jitu zima ovyooo kujiweka uchi mitandaoni
ReplyDeleteBora mr sungu umestuka ukamuacha ana sifa za kuwa mke ni changudoaaa
ReplyDeleteUlikuwa unamaanisha Hana sifa au "ana sifa"
DeleteHata huyo mtoto pembeni yako anakuona hamnazo.
ReplyDeletejiheshimu mtu mzima wewe ,hadi mtoto ana
ReplyDeletekushangaa