Flora Mbasha: Hizo Stori Mnazosikia Hazina Ukweli Wowote na ndio Maana Niliamua Kukaa Kimya

"Hizo stori mnazosikia hazina ukweli wowote na ndio maana niliamua kukaa kimya sikutaka kujibizana kwenye vyombo vya habari kwa uongo wa baadhi ya magazeti ya udaku ila ninasikitika sana kwani kuna watu wamekaa na kujipanga kisawa sawa kwa ajili ya kuhakikisha wanaharibu huduma yangu kwa gharama zozote, lakini bado ninasonga mbele kwani mwanzilishi wa huduma yangu ni Mungu na huyo ndiye atakayeimaliza na sio mwanadamu"

 Hayo alifunguka mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MIYE SIJAKUELEWA UNAPOSEMA STORY ZOTE NI UONGO KWA HIYO MPO PAMOJA NA MUME WAKO AMBAYE MUNGU ALIWAUNGANISHA???????????????

    ReplyDelete
  2. Yaani hapo kaniacha njia pande...hebu tueleze kinaganaga ubwaga upo naye ama la!!!!!! kisha utupe mada yote.

    ReplyDelete
  3. Jamii haikuelewi

    ReplyDelete
  4. Hata wasanii wa bongo flavor wanakuzidi ujanja? Ukiwa mjanja kuchapiwa nisiri ya ndani!

    ReplyDelete
  5. UNASEMA HUDUMA MUNGU AMEKUPA UTOE JE UNAMTII HUYO MUNGU UNAYEMTAJA?? KILE UNCHOIMBA UNAKIFANYA ???

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad