Habari Mpya Kuhusu Kesi ya Madawa ya Kulevya Inayomkabili Chid Benzi

KESI inayomkabili mwanamuziki wa Hip hop nchini, Rashid Makwiro ’Chid Benz’, imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mpaka Januari 21, mwaka huu.

Mwanamuziki huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar wakati akisafiri kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya kutumbuiza mwaka jana.

Kesi hiyo imesomwa mbele ya Hakimu Waliarwanda Lema.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kakutwa na dawa za kulevya kwa nini kesi ichukue muda mrefu hivi?
    Hongo/ Rushwa eeeh!

    ReplyDelete
  2. Au hawana uhakika na kesi wanayo mpa!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad