Mwaka 2015 umeanza vizuri kwa Mose Iyobo dancer wa Diamond kwa kumpongeza Aunty Ezekiel na kisha kumwita Beib...Hii sasa imeweka wazi kwamba ni kweli wawili hawa wana mahusiano na Ujauzito wa Aunty Ezekiel wenye maswali mengi kwa mashabiki wake muhusika ni Mose Iyobo
Mose Iyobo Ambaye ni Mume wa Mtu Ameweka picha hii Hapa chini ya Mwanamke Mjamzito na Kuandika Hivi Kwenye ukurasa wake wa Instagram:
'Lazima tujifunze kutofautisha kati ya kitambi na mimba lakini hapa kuna utata.....mimi ni mmoja kati ya wasio elewa hiki ni nini....au wewe ulikuwa unaonaje hiki ni kitambi au mimba..... na kama hii ni mimba basi congratulation to my beib. .......AEZKL' Mose Iyobo
~udakuspecially.com
Hakuna Siri Tena Huyu Ndio Muhusika wa Ujauzito wa Aunty Ezekiel, Amwita Beib na Kumpongeza Kwa Ujauzito
1
January 01, 2015
Tags
jamaa kafaidi kweli huyu, kamkojolea yule mtoto!! dah!
ReplyDelete