Hivi Ndivyo Mastaa Mbali Mbali Walivyoukaribisha Mwaka Mpya 2015

Diamond
"Siku zote Kumbuka wewe ni mwanaume...na sisi wanaume tumeandikiwa Rizki zetu kuzipata kwa Tabu sana... Mateso, Manyanyaso, Kudharauliwa Kusimangwa, Matusi na Shida za kila aina... hivyo, mitihani unayoipitia sasa, isikukatishe tamaa.. amini ndio njia ama Daraja la kukufikisha kwenye mafanikio yako... Waswahili husema, "Ukiona kiza kinazidi tanda, ujue karibu "

Meninah 
"Tukielekea katika kuuaga mwaka 2014 ningependa kumshkuru Mungu kwa utukufu wake kwa kunitunuku pumzi inayonifanya nizidi kuona rehma zake zinazonfanya nizidi kuwa na nyie karibu pia shukrani zangu za dhati zije kwenu watu wangu waukweli,media zoote na familia yangu kwa ujumla kwa sapoti kubwa mnayonipa ambayo siwezi kuipata sehemu yeyote zaidi ya hapa nyumbani Tanzania kwanza.....Tumepitia vikwazo vingi,uzuni,mawazo,furaha ila bado tupo bega kwa bega ndani ya mwaka mzima mpaka hivi tunauaga tumshkuru Mungu kwa nafasi hii ambayo wengi wao hawajapata kuiona vizuri kwa afya hata kutokuuona kabisa
,,tuukarbishe mwaka mpya 2015 kwa kudumisha upendo na amani.......I love you..........."

Juma Jux
"ASANTENI sana for the LOVE and SUPPORT in 2014.
kheri ya mwaka mpya "

Divathebawse
"wish you Guys Happy New Year. love you all. ❤️ from me and My baby. lots of love #deuces✌️"

Ommy Dimpoz
"Huu ni mwaka wa 3 mfululizo New year inanikutia kenya nikiwa kwenye harakati zangu za kujitafutia Ugali...Asante Mungu kwa mwaka mzuri wa 2014🙏 kwani nina kila sababu ya kukushukuru na pia ningependa kutumia nafasi hii kutoa shukrani za dhati kwa Media mbali mbali,wadau wa muziki wetu,team yangu ya PozkwaPoz (PKP),familia yangu na bila kuwasahau mashabiki wetu ambao mmekuwa mkitussuport bila kuchoka hakika tunashukuru sana kama kuna mtu nilimkosea basi naomba anisamehe kwani wapo pia walionikosea na mm sina budi kuwasamehe na kuanza maisha mapya km Mungu alivyotuagiza Nawapenda sana HAPPY NEW YEAR 🎉🎊🎉🎊🎉🎉🎆🎇🎆🎇"

Stanbakora
'Asante sana mwenyezi Mungu kwa kunifanya kuuona mwaka 2015 nikiwa salama ,najua kuna wngne pia wamefika siku hii ya leo wakiwa salama na furaha tele japo wapo watu mwaka mpya umewakuta wakiwa wagonjwa eeeh Mwenyezi Mungu naomba uwafanyie wepesi ili waweze kuwa na afya njema ,pia wapo ambao wametutangulia mbele za haki akiwepo mama yangu mzazi 😭😭😭pumzikeni kwa amani maana najua hii ni safar ya kila mmoja wetu hakika ipo siku tutakuwa pamoja ............asante sana mwenyezi Mungu kwa kunifanya kuwa @stanbakora ....love u ol'
~udakuspecially.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad