“Insta weka picha maneno WAACHIE WAO halafu kuweni na hoja maana tofauti na hapo zikiwa shangwe au kuzomewa zote KELELE haya halafu uzuri mmoja jamani Mungu si baba yetu wote?kwa hiyo nikijichagulia DADANGU kwa mapenzi basi tafuta wako pia mchague umpende and further more UKIAMBIWA'SIO UKISEMA'kitu kimoja zaidi ya watu ku mi tofauti wasiojuana basi ashakhum si matusi IPITISHWEEEE kufananishwa kila mtu ana fulani WAKUFANANISHWA meaning kuna baadhi ya vitu wamefanana sasa ingekuwa kila kitu si wangekua mtu huyo huyo??USIPANICK SANAA maana life gari au dereva SAFARI TUTAFIKA KATAA KUBALI NAMALIZIA NDO ROLE MODEL WANGU NA WENGI WAPE maana wengine mnagugumia haya AMBULANCE FREE KUWA FOR ME MAANA NAKUFWA FOR ME ROLE MODEL usipanick ni picha tu mengineyo YOTE SAWA chungu ila ndo dawa”.
Aliandika maneno hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo ambayo huyu wa kwanza kutoka kushoto ni Angelina Jolie nainayofuta ni yeye Irene..
Nadhani ujumbe umefika!! Wamefanana au?
Irene Paul Awashukia Wanaomponda Kufanana Agelina Jolie
0
January 16, 2015
Tags