Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa faraja kubwa kama mimba ya mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel.
Akizungumzia ujauzito wa mpenzi wake, Iyobo ambaye nyuma kidogo alipost picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kutoa pongezi kwa mpenzi wake huyo kwa kumbebea ujauzito, alisema kuwa hakuna kitu ambacho anaona fahari kama hicho.
“ Mimi tu nikiwaza mtu ambaye ninampenda kwa dhati ana mimba yangu napata faraja kubwa sana hivyo kila siku namuomba Mungu ajifungue salama na ampitishe katika majaribu mazito,” alisema Iyobo.
GPL
Iyobo: Mimba ya Mpenzi Wangu Aunty ni Faraja Kwangu na Tulizo la Roho Yangu
8
January 29, 2015
Tags
Mwenye mzigo yuko ,mmmmmmmmmmmmmh
ReplyDeletelazaro nyalandu mgombea urais. si wananchi wote watakuwa wajawazito
ReplyDeletelazaro nyalandu mgombea urais. si wananchi wote watakuwa wajawazito
ReplyDeleteAunty si ana mume lakini kaamuwa kufanya yake wote wana support kwanini diamond hawa support
ReplyDeletesioni sababu ya wewe kujisifia hadharani kwa kudate na mke halali wa mtu, mbaya zaidi unajisifia kumpa ujauzito, HUO NI USHAMBA WA KUFIKIRI.
ReplyDeleteACHA HIZO.
ReplyDeleteHAIPENDEZI HATA KDG, HUYO NI MKE WA MTU. WACHA KUPUBLISH UCHAFU!
ReplyDeleteHata kama ingekuwa kweli ni mimba yako,ni ushamba tu,kila kitu mnatangaza?kama vipi
ReplyDeletetunataka kuona na cheti cha hospitali baada ya kupima ukimwi.