Jokate Ajibu Mapigo ya Kukataa Kumzalia Diamond Mtoto Asema Diamond Hana Akili Timamu
4Udaku SpecialJanuary 02, 2015
Jokate Mwegelo aka Kidoti
Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto. Jokate Ameliambia Gazeti Moja Maarufu Kuwa mwanaume mwenye Akili timamu awezi kuongelea mambo kama hayo ya mahusiano kwenye vyombo vya habari akitangaza kila mwanamke aliyekuwa naye alikataa kumzalia mtoto.
Waandishi na nyie ndo maana mnasababisha ugomvi kwa wasanii kila cku,,,,,,,,,tizama kauli alotumia na uangalie na ya kwako coz mwenzako kapunguza ukali wa maneno wewe ukaandika unachokijua wewe nyambafu wee!!!!!!!!!!
true tho ata kama jo hajasema ivo, mwanaume wakweli haongelei maX zake yaliyopita yamepita aisee saa yee kila swali anataka kujibu ndio anaharibu wacha dai ongelea music na kusaka hela haya mengine wee eka no comment tu aisee tunajionea wenyewe ila mara hii umepata dada mwenye uzazi wake haya tunahesabu miezi atutaki tirariraa apa!!
KWELI KIDOTI HATA MIYE NILISHANGAA MANENO YALE KAMA YANATOKA KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU!! HIVI KWELI KABISA MWANAUME MZIMA WA AKILI ANAWEZA KUIAMBIA KADAMNASI MANENO KAMA YALE?? HALAFU HUKUTE NDIO DOMO HANA RISASI KAZI KWELI KWELI !!!!!
yani nyie vidoti, mtu akishakuwa na hela anakugongenigongeni wote!!!! aise huyu diamond ni balaa!! anatumia uchawi nini? maanake kwa mademu aliowagonga mpaka wewe itakuwa ni hela tu!! maanake kimuonekano jamaa ni ziro!!
Waandishi na nyie ndo maana mnasababisha ugomvi kwa wasanii kila cku,,,,,,,,,tizama kauli alotumia na uangalie na ya kwako coz mwenzako kapunguza ukali wa maneno wewe ukaandika unachokijua wewe nyambafu wee!!!!!!!!!!
ReplyDeletetrue tho ata kama jo hajasema ivo, mwanaume wakweli haongelei maX zake yaliyopita yamepita aisee saa yee kila swali anataka kujibu ndio anaharibu wacha dai ongelea music na kusaka hela haya mengine wee eka no comment tu aisee tunajionea wenyewe ila mara hii umepata dada mwenye uzazi wake haya tunahesabu miezi atutaki tirariraa apa!!
ReplyDeleteKWELI KIDOTI HATA MIYE NILISHANGAA MANENO YALE KAMA YANATOKA KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU!! HIVI KWELI KABISA MWANAUME MZIMA WA AKILI ANAWEZA KUIAMBIA KADAMNASI MANENO KAMA YALE?? HALAFU HUKUTE NDIO DOMO HANA RISASI KAZI KWELI KWELI !!!!!
ReplyDeleteyani nyie vidoti, mtu akishakuwa na hela anakugongenigongeni wote!!!! aise huyu diamond ni balaa!! anatumia uchawi nini? maanake kwa mademu aliowagonga mpaka wewe itakuwa ni hela tu!! maanake kimuonekano jamaa ni ziro!!
ReplyDelete