Kulikuwa na mvutano mkali sana bungeni wakati wabunge wakijadili hoja ya Lipumba kupigwa. Hapo chini nimekuwekea michango ya Lusinde na Sadifa waliyoitoa Bungeni:
Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwa
Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa
Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni wanakuwa na hamsha hamsha ili wafikiriwe
Lusinde: Nawashauri wapiga debe mkiona watu wanaandamana magari hayatembei hampati pesa na nyinyi andamaneni.
Sadifa: Mnasema Lipumba kapigwa, hajapigwa hapo, kaguswa tu, huwezi kumlinganisha Lipumba na Kikwete.
Kwa hiyo katiba ya nchi ,inavunjwa kwa watu kupigwa na viongozi wanabariki hali hiyo? chuki itaongezeka katika jamii,na mwisho,ufa,na heshima ya taifa ,haitakuwepo,na sura yetu kimataifa imesha haribika ni sawa na swala la kuuwa albino hili,kiongozi wa serikali kusema kupigwa ni haki? hilo ni kosa kubwa sana,kwa taifa changa kama la kwetu.
ReplyDeleteAnatakiwa kujiuzulu Harajka sana
DeleteHuyu SADIFA nae sijui taka taka gani anajitaftia umaarufu kwa kasi...
ReplyDeleteMIYE SIWAELEWI HAWA WABUNGE NDO WANATAFUTA KIKI ???I
ReplyDeleteNi vizuri viongozi wa siasa wapigwe mara nyingi wanapigwa na kuuawa wakati huu polisi wamefanya vizuri
ReplyDelete