Le Mutuz Awashukia Wanaomlaumu Kuhusu Nyumba ya Mama yake Huko Mbeya
6Udaku SpecialJanuary 12, 2015
U Super Star Kazi Kweli kweli Kila Utakacho fanya ama Kuonyesha Lazima Kiibue mjadala ..William Malecela Aka Lemutuz Alipiga Picha akiwa nyumbani kwa Mama yake Mbeya na Kuweka Instagram Kisha Baadhi ya Mashabiki wake waliibuka na Kuanza kuponda , Sasa nae Lemutuz ameibuka na Kuwashukia wanaoikaindia nyumba ya mama yake , huku akiwataka waonyeshe za mama zao!
Kama zina hadhi ya kama ya mama Le Super Star Lemutuz
Huyu mjingaa anadai kasoma wakati ajui standard ya nyumba ya mama yake inapimwa kutokana na kipato chako na wadhifa au umaharufu wako rudisha vyeti degree ya miaka 4 inakuchukua miaka 8 lol
bro ushaa kuwa mkubwa achana na vitendo vya kutafuta attention kama akina Diamond unachofanya ni utoto kabisa sikukandii nashauri tu ukieeza fanyia kazi ushaur
Bro ushaa kuwa mkubwa haya mambo ya kutafuta attention waachie wadogo zako kina Diamond, nikifatilia mambo unayofanya mara nyingi unaishia kuchafuka tu mitandaon....unamdhalilisha mzee kuwa na kijana wa aina yako
Huyu mjingaa anadai kasoma wakati ajui standard ya nyumba ya mama yake inapimwa kutokana na kipato chako na wadhifa au umaharufu wako rudisha vyeti degree ya miaka 4 inakuchukua miaka 8 lol
ReplyDeletesure hiyo nyumba ina hadhi yake??? ina maana uwezo wake unafanana na hiyo nyumba??
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeletebro ushaa kuwa mkubwa achana na vitendo vya kutafuta attention kama akina Diamond unachofanya ni utoto kabisa sikukandii nashauri tu ukieeza fanyia kazi ushaur
ReplyDeleteBro ushaa kuwa mkubwa haya mambo ya kutafuta attention waachie wadogo zako kina Diamond, nikifatilia mambo unayofanya mara nyingi unaishia kuchafuka tu mitandaon....unamdhalilisha mzee kuwa na kijana wa aina yako
ReplyDeleteThis guy is so pathetic. What he is up to is just a 2 minutes fame, lakini kichwani hakuna kitu kabisa
ReplyDelete