Tarehe 27 January nakwenda bungeni kufanya kazi moja tu, nikimkuta Waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo bungeni ndipo nitafukuzwa ubunge moja kwa moja. Nikimkuta Muhongo bungeni na Chenge ambao ni wahusika wa Escrow bado ni viongozi mimi nitakwenda kumshika Muhongo nimtoe bungeni kwa sababu Katiba inaruhusu kila raia kukemea uovu.” Alisema GodBless Lema Mbunge wa Arusha mjini
Unakubaliana naye kwenye hilo au unampinga?
NAMKUBALI LEMA KWA SAANA TU ILA KATIKA HILI KWA HATUA ANAYOSEMA SIKUBALIANI NAYE SIYE WAUNGWANA TUWATOE KIISTARAABU!!!
ReplyDeleteSasa hivi hana jipya, amekuwa chalii chaplin aanzishe kundi la comedy tu.
ReplyDeletekwishney Arusha ataisikia kwenye bomba na ubunge kwaheri kila usanii una mwisho wake.
ReplyDeleteLema ni bonge la msure ila kuvuta mkono sikubali. tumia njia nyingine kuwatoa
ReplyDelete