Good Morning Instagram Nation happy new year my people at Office Kikazi zaidi live at the Farm "Camp Davis" le Arusha Moja.....Ok najua sana kwamba I am hated na Mamen wengi sana na.ninajua sana kwamba kuna wanaojaribu kila wakati kunitegeshea na mitego mingi ya kitoto kusudi waje waseme nilikuwa na mke wa mtu I know that I was not born jana U know......najua kwamba mabebezz wengi hapa mnapigwa na.Mamen wenu kwa sababu yangu najua kwamba Mabebez wengi hapa mnazuiwa kuwasiliana na mimi na Mamen wenu wasiojiamini.....well.na wale Mabebezz wote mnaoishi au kuwa kwenye Mapenzi kwa kujilazimisha kwa sababu mbalibali za.kimaisha.... najua I offer some relief hapa na my comments na zinawaudhi sana Mamen malimbukeni wa Mabebezz....
I pray that Mwaka huu mtajitahidi kuwachana na the gademu mburulazzz wanaowageuza watumwa badala ya mapenzi U know.....msikate tamaa the day is coming kila mbwa ana siku yake U know every dog has his day mtakuwa huru tu and for sure I love U all mabebezz na my Super Friends mapenzi hayatakiwi kuwa Vita kama vipi liwache mazafantazzz
.......na kama Mamen wako lime cheat kumbuka my gademu deal na wewe Cheat back and then hakikisha limejua itakuwa balance ndio ulisamehe kama hataki liwachilie mbali mazafantazzz!! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA U KNOW!! - le Mutuz
Source: http://instagram.com/lemutuz_nation/
Lemutuz Afunguka 'Najua Kwamba Mabebez Wengi Mnapigwa na Mamen Wenu Kwasababu Yangu...Msikate Tamaa The Day is Coming'
3
January 01, 2015
Tags
Hana lolote huyo lemutuz ni mpambe tu an atume ana Watu kumaliza noma zao kupotosha na kupumbaza wananchi. Pacho alivopigwa akatokea akasema kinachosemwa sio ukweli lakini asemi kilichotokea nini, bwana mdogo alipopigwa risasi nje Ya maisha club anasema sio ukweli lakini asemi ukweli ni upi watu wasikubali ujinga wake
ReplyDeleteHuyo mwanamke mwenzetu anaetoka na huyu mbulula pole zake,
ReplyDeletemaana hana akili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
Huyu lemutuz hayuko k-ibaba,kwa maana nyingine hakui kiakili kama wanaume wanavyotakiwa.
ReplyDelete