Mapungufu makubwa ya Serikali ya awamu ya nne

Wanajamvi it it hightime tujadili mapungufu ya serikali iloyopo madarakani ili hawa wanaojipitisha kutaka urais, watupe sera zao zitakuwaje: mimi niliyoyaona ni yafuatayo
1. Elimu imeendelea kushuka ubora
2. Maslahi ya wafanyakazi hayakujaliwa ili waongezeg tija.
3. Suala la afya kwa jamii halikupewa kipaumbele
4. Vijana wengi hawana ajira
5. Rushwa imekithiri kila maeneo mpaka inaonekana ni jambo la kawaida.
6. Muungano umetetereka kwa kuruhusu zanzibar izidi kufanya mambo yao
7. Heshima ya tanzania imepungua sana nje rais amekuwa ombaomba sana.
8. Usalama wa wanainchi umezidi kuwa shakani kuibuka kwa mabomu kila kona ya tanzania
9. Nchi yetu kuanza kumegwa huku tunatizama eg lake nyasa.
10. Kushidwa kuyaboresha makampuni yaliyochini ya serikali eg ATCL serikali haijatoa mtaji wala kununua ndege hata moja.

Ongezea Yako kama Unayo.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa maoni yangu kwenye wamejitahidi huduma nyingi zimepanuliwa ukilingisha na awamu zilizopita

    ReplyDelete
  2. Me nahisi una lako jambo na serekali ya raisi Kikwete au yeye mwenyewe hasa. Sababu yote uliosema miaka yote yako hivyo hivyo na mengine yameboreshwa kuliko kulliko ilivyokuwa hapo kabla

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad