Mengi Ametoa Fumbo Kali la kufungua Mwaka...Jibu Kama wewe ni Kichwa

Reginald Mengi
Mwaka Mpya Umeanza kwa Vijembe kwa Mfanyabiashara Mengi , kwenye Ukurasa wake Ameandika Maneno ambayo kwa wengi ikiwemo na mimi ni kama Fumbo , Kama wewe ni Kichwa na Mjuzi wa Mambo embu Tufumbulie hilo fumbo hapo chini ni nani anasemwa hapo ?

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We administra kweli unaitaji kuwa kichwa kujibu ilo swali?

    ReplyDelete
  2. Tuige mfano wake inaonesha hakukata tamaa ba leo amekua prof nami nampongeza

    ReplyDelete
  3. M W O N G O O O O O

    ReplyDelete
  4. Hilo la kubadilisha jina na shule msilishangae sana. Wengi kutoka mkoa wa Mara hasa waliosoma miaka ya sabini themanini hadi early nineties lilikuwa common practice. Ndo maana unakuta wengine wana majina ya kiislam wakati ni mkristo and vice versa.

    ReplyDelete
  5. yule Muhongooooo, kumbe alianza uongo toka zamani? huyu jamaa inaonyesha hata hilo jina lake alilipata sababu ya tabia yake!!

    ReplyDelete
  6. Lakini hii ni message nzuri, kwa hiyo Ndugu wananchi wa Taifa hili Tanzania hamna kukata tamaa dhidi ya mafisadi wanaotaka kuliangusha hili Taifa liwe hoi, tuwanganganie tu wote mwendo mdundo mpaka Taifa litapokaa sawa, NDONT GIVE UP

    ReplyDelete
  7. Wengine wnangangania, waingie kwenye siasa kwa ajili tu ya tamaa zao, zilizowajaa, wanajua wataenda kuwaibia wanadam wanzao huko kwa kujifanya viongozi , ili wapate furaha na starehe wanazozitaka,

    ReplyDelete
  8. Hili ni gumbo kaziyetu sisi nikujaribu kulifummbua kamailivyokua niaya mzeewetu mengi,kwangumm najaribu kufumbuakua,nchiyetu hatuendeshi mamboyetu,kwakufata sheria ILA nikwakila kiongozi anaamua vile mtu amtakae,ndiomana unaweza ukawa hatashule umepasi,lakini msahhshaji akaamuatu,kusema,umefeli,kiiufupi Nia ya mzeenikua,kilamtu,kilasekta,kiila kiongozi atimize wajibuwake,ili kuepuka kua na vionngozi walioteulia bila sofa,kwasabbu ya kujuana tu

    ReplyDelete
  9. Wako wengi tu hao waliofeli darasa la 7 kisha wakaiba majina ya watoto walioacha shule au walifeli wakashindwa kusoma, wakasoma wao.

    Wako waliotumia majina ya watoto wa kiislamu waliodanganywa wamefeli wakasomea wao.

    Marehemu Prof Kighoma Malima alijaribu kulirekebisha hili kwa kuleta system ya namba badala ya majina ili kuwasaidia watoto wa wanyonge waweze kupata nafasi ya kusoma.

    Wizara ile naona ilikuwa inaongozwa na maripita wote lol!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad