Mtangazaji Maarufu wa Radio Free Africa Atimkia Clouds Fm
0Udaku SpecialJanuary 02, 2015
Fredwaa Kulia Akiwa na Issa Michuzi
Mtangazaji anayejulikana almaarufu kama Fredwaa kutoka Radio Free Africa, sasa yu ndani ya mjengo wa Radio Clouds kipindi cha Power Breakfast, akiungana na Mbwiga, Gerald Hando, Boonge n.k. Mtangazaji huyu alijizolea umaarufu katika kipindi chake cha asubuhi pale RFA, ambapo pamoja na mambo mengine alikuwa na segment inaitwa Vodacom Top 5... Je unadhani ameenda Clouds kuua kipaji au kuboresha kipaji?