UTANI KIDOGO: Siunakumbuka Mwita Chacha alivyowaponda wanaume wa Dar, eti hawana lolote wanaenda GYM ili wakamate warembo tu, kwani wameshindwa kuwadhibiti Panya Road na kukimbia barabarani huku wengine wakijifisha kwenye uvungu wa meza za Bar. Sasa Mtunisy akiwa ni moja kati wa vijana wanoshinda GYM ameibuka na barua hii.
"BARUA hii ije kwako wewe Bw Mwita Chacha sijui toka huko Tarime uliejirekodi na kutuita sisi wanaume wa Dar kuwa ni waoga sana na tunaogopa hata panya rodi tu. Kwa taarifa yako sisi wanaume wa Dar sio waoga kama ulivyotuita na sisi siku ile sio kama tulikuwa tunawakimbia hao panya road bali sisi tulikuwa tunakimbia kuhofia Kufumaniwa na wake za watu tuliokuwa nao kwenye BAR kwani kwenye fujo kama zile lolote huweza kutokea mbaya zaidi zilitokea mapema sana hata no za simu hatujapewa kama huamini kama sisi ni majasiri hamia na mke wako Dar ndani ya miezi mitatu tu uone kama hukumtafuta barabarani na mapanga utadhani wewe ndio panya road na kuishia kuwekwa lupango tu hivi hujiulizi ilikuaje tukawa tunakimbia wakati tuna silaha viunoni kwakua ukifumaniwa hata Bastola huwa kama katoi tu ni hayo Tu Naomba mfikishieni ujumbe huu yule jamaa bye". Mtunisy
Nadhani ujumbe umefika!!!.
Mtunis 'Sisi Wanaume wa Dar Hatukuogopa Panya Road, Tulikimbia Tusije Fumaniwa na Wake za Watu Bar'
2
January 30, 2015
Tags
Je waume wa watu vipi!!!!
ReplyDeleteUpuuzi mtupu bora ungenyamaza boya we.
ReplyDelete