Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga aka TK, amepata uraia wa Marekani.
Teddy aliyeolewa nchini humo na ambaye ni mama wa watoto wawili amekuwa akiishi nchini humo kwa miaka kadhaa sasa lakini akiwa kama raia wa kigeni.
“Omg ! #newUScitizen #maisha-popote-roho-ilipotulia,” ameandika Teddy ambaye pia ni mwanamitindo kwenye picha hiyo juu aliyoipost Instagram.
Mwanamitindo Raia wa Tanzania Teddy Kalonga Apata Uraia wa Marekani
5
January 22, 2015
Tags
Uraia wa Marekani leo hii. Kaisha sota huko na sasa kipofu kaona mwezi. Atashangaa sana na huo uraia kama anafikiria utamsaidia lolote yeye alie tu. Kusota ni kulekule.
ReplyDeletemm nakupa tano kwani yoote ni maisha na maisha ni popote
ReplyDeletebig up mtoto wa tandika
ReplyDeleteAliye pata kapata wee mdau hapo juu wivu tuuu kusota kupo kokote mbona bongo nyumbani na tunasota, bora kuwa mtumwa ugenini kuliko kuwa mtumwa nyumbani, hongeraaaa zako kwa kupata uraia wa marekani.
ReplyDeleteSasa wewe mchangiaji wa kwanza kama sio wivu ni nini? Wewe huko Tanzania uliko hausoti? No yeye a mekwambia anasota? Yaani wivu mwingine bwana!
ReplyDelete