Staa wa muziki wa nchini Uganda, Bobi Wine ameibuka na kusafisha jina lake kwa kusema kuwa, tetesi za yeye kugundua kuwa alikua analea mtoto Simon ambaye si wake bila kujua kwa miaka kadhaa sasa ni za kweli.
Bobi wine ameelezea kuwa hili jambo halitamfanya yeye kumtenga mtoto huyo ambaye amekuwa akimtunza kama wake kwa muda wote.
Bobi Wine amesema kuwa, ataendelea kumtunza mtoto huyu kama sehemu ya familia yake kutokana na mahusiano makubwa ambayo tayari yalikwishajengeka kati yao ingawa atahitaji mama wa mtoto huyu kuomba msamaha kwa kila pande kwa kuficha ukweli juu ya ishu hii kwa miaka yote hiyo.
Taarifa za awali ziliweka wazi kuwa star huyo ameamua kukata mawasiliano pamoja na mahusiano kati yake na mtoto huyo pamoja na mama yake baada ya kugundua ukweli huu wa kushtusha, hatua ambayo ameikanusha kabisa.
Haya Hapa Ameandika Bob Wine:
"This is my whole story and I have evidence on everything. 7 years ago I met a one gal in London called Safina. By then I was not married and I made a mistake of my life. It was once and the next week this gal claimed that she was pregnant. Ng'omusajja omuganda I was happy to have a new member of the family. I have been taking responsibilities as a father and no one was complaining."
"This Christmas season, I invited Simon as my son to spend the festival with his fellow brothers and sisters. As soon as the boy landed in UG from UK, I said no, I have to do it this time, so I secretly without any other persons knowledge took him for a DNA test coz for so long I have been suspecting this."
"Ashburg to my surprise or let me call it shock relief, the results are back and guess what? SIMON KYAGULANYI is not my son. Not even Barbie or Saphina knows this. I have decided to make u a star by giving u this info first and any question about this u will be the first to get the answer."
Proof of DNA test results and other concrete evidence will be out. I'm so sorry for my boy Simon but your mum is responsible. I'm sorry Barbie that you had to go through such pain, I'm sorry my family and fans. Shadrak, Shalom & Solomon are my only 3 biological kids as of 20th/01/2015."
Mwanamuzi Bob Wine Yamkuta Makubwa, Amlea Mtoto kwa Miaka Saba Akizani Wake, Afanya DNA Test na Kugundua Makubwa
4
January 29, 2015
Tags
Mweeeeh.
ReplyDeleteMIMI SIONI SABABU YA KUMWAMBIA SASA UMEPATA FAIDA GANI??? WEWE UNA HAKIKA GANI HUYO BABA UNAYESEMA NI BABA YAKO KAMA NI KWELI BABA YAKO?? MAMBO MENGINE HUWA YANAACHWA JINSI YALIVYO UMEMUUMIZA SANA HUYO MTOTO. MAMA YAKE HAKUMUUMIZA KWA VILE HAKUMWAMBIA KAMA WEWE SI BABA YAKE.. DUNIANI NI WAPITAJI TU !!! HATA WEWE NAJUA UNAUMIA. BORA USINGEJACHECK. WANASEMA HIVI USIULIZE SWALI AMBALO UNAJUA FIKA KUWA JIBU LAKE LITAKUUMIZA!!!
ReplyDeleteETI UMESAFISHA JINA?? KWANI HUKUZINI ??? MTOTO ANAWEZA SIO WAKO LAKINI UZINZI ULIFANYA HILO HALISAFIKISHI KAKA
ReplyDeleteNA NYIE WAANDISHI KUSEMA YAMEMKUTWA MAKUBWA KWANI KULEA MTOTO SIO WAKO KUNA AJABU GANI HAPO????KUKUZA TU MAMBO KUSIOKUWA KWA MAANA!!!!
ReplyDelete