Mwigizaji Tiko Awavaa Wanaume Wanaodai yeye ni GOGO Kitandani

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.

Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.

“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini kweli,” alisema Tiko.
--------------------------------
Every day is a new opportunity. You can build on yesterday's success or put its failures behind and start over again. That's the way life is, with a new game every day, and that's the way baseball is.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watoa maksi ni wale wanaosimamia na kusahihisha mtihani ikizingatiwa siku hizi somo la unyago halipo katika jamii

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad