Mwigulu: Namzimia Sana Zitto -Kuliko Wanasiasa Wote vijana, ila Kwenye urais Anisubiri kwanza.
2Udaku SpecialJanuary 20, 2015
Top Post Ad
Mwigulu Nchemba na Zitto Kabwe Wakiteta Jambo
Mheshimiwa Rais mtarajiwa Mwigulu Nchemba aka KIKWETE WA PILI, jana alipoulizwa na Salama kwenye kipindi cha Mkasi kuhusu mwanasiasa gani kijana anayempenda Tanzania, alimtaja mshirika wake, yule kijana aliyetuhumiwa kushiriki kwenye njama za kukipakazia CHADEMA ugaidi ili kife kabla ya 2014, Mh ZITTO KABWE. Ila akaonya urais asubiri kwanza.
Nchi za afrika uongozi Itakuwa Kama mashindano Ya magari ,Kama vile hakuna uoga,wala hofu,Hii ni hatari Sana Kwa Islamabad wa bara la afrika,hakuna uzalendo kabisa,tuangalie sana wakati wa dabate za Urais.
Mwigulu ndio asubiri urais.
ReplyDeleteZito tangaza nia bwana.

ReplyDelete