Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian Hati Hati, Kanye Amnyima Kim Haki ya Tendo la Ndoa
2Udaku SpecialJanuary 05, 2015
NDOA ya Mastaa ya Wakubwa Duniani Kanye West na Kim Kardashian inaelekea pabaya kwa kile kinachoonekana ni kuchokana kimapenzi , Kim Kardashian amekaririwa na Mtandao mmoja mkubwa wa Marekani TMZ akisema kuwa West amekuwa hampi haki yake ya ndoa kama ipasavyo huku akijidai yupo busy na Kazi zake na anaporudi nyumbani huishia kucheza na mtoto kisha kulala fofo...Kim Amemtaka mumewe kuhuzuria Darasa la Ushauri nasaha wa mapenzi ili kunusuru ndoa yao....
nyie mademu hamtosheki, yani mkishaolewa tu, mnataka gongwa kila mara, wanaume tuna mambo mengi vilevile jamani, siyo kila saa tunafikiria gonga tu!!!
ReplyDeleteKwanza kugongana kila siku kunachosha,kunafubaza ndoa jamani.
Delete