Ndoa ya Wolper Yabuma......Wazazi wa Manaiki Sanga Wamkataa..Kisa Hichi Hapa


Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper.

Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani kwao.

Yaani nimeamini kabisa mbio za sakafuni huishia ukingoni, sikujua kama wazazi wangu watanikata maini kwa kuwa nilijua wazi hawatakuwa na kipingamizi lakini wameniambia kuwa lazima nioe nyumbani,” alisema.
-------------------------------
Learn from yesterday, live for today, hope for tomorrow. The important thing is not to stop questioning.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Apeleke ujinga wake huko

    ReplyDelete
  2. Hili nalo linatafutaga kiki za kijinga uongo mtupu fyuuuuuu

    ReplyDelete
  3. Hili nalo linatafutaga kiki za kijinga uongo mtupu fyuuuuuu

    ReplyDelete
  4. yaani kama kuna mwamume mjinga dunia basi wewe ni mmoja wapo...kwani wazazi wako ndio watakaa na huyo wolper???? stop being a kid and grow up a bit....usidanganye watu hapa....sema ukweli ulikuwa humtaki wolper kisha umesingizia wazazi wako bure....mungu atakulani kama ni uwongo....fool....ama wazazi wako ndio watakuwa wanakuambia cha kufanya chumbani ukiwa na wolper???? kwanza usinichafue roho mie nitakutana bure....sio ati mie ni mpenzi wa wolper la asha ila ukweli lazima uambiwe....you suck big time.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad