Hii ni Video ya kichapo kizito toka kwa polisi walichopewa wanachama wa CUF wakati wa maandamano yalioyoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.
-----------------
Peace cannot be kept by force; it can only be achieved by understanding.
Jamani hvi hii ni TANZANIA au? Maana ubinafsi unazidi! Hali ya xx ni mbaya
ReplyDeleteEe Mungu ibariki TANZANIA
ReplyDeleteEE Mungu ibariki TANZANIA
ReplyDeleteNi udhalilishaji wa hali ya juu sijui nchi yetu inaelekea wapi kwa kweli!
ReplyDeletekama
ReplyDeletekuna
mtu
anae
anitumie
kwenye
wasup
POLISI MNASHINDWA KUPIGA MAJAMBAZI WANAOVAMIA VITUO VYA POLISI NA KUWANYANG`ANYA SILAHA MNAKUJA KUPIGA RAIA WAISIOKUA NA SILAHA
Deletekama
ReplyDeletekuna
mtu
anae
anitumie
kwenye
wasup
Hii yote ni Dhiki, Njaa, ndio maana imekuwa siasa ni kimbilio, hakuna hata mmja anaejua wajibu wake nini? si police wala hao wengine hizi nchi zetu zinazojita masikini ni shidaa tu, umasikini ni wa kujitakia kwa ajili ya kukosa, ujuzi na maalifa, na kutotumia akili tulizopewa, Yaani bara hili na Tanzania kiujumla hmmm tunatia aibu,
ReplyDeleteHii ni aibu kwa jeshi la police, wana behave km uneducated kabisa. Hakukuwa na sababu ya wao kutumia nguvu.
ReplyDeleteinaonekana walikuwa wanajadiliana khs uhalali wa mkutano, ila ni km kuna amri imetolewa washambuliwe Bila kujali.
Kikwete ukitakiwa ukemee haya na uwawajibishe wote, kimya chako kinaashiria hayo mashambulizi mmeyapanga
Hapa hapaelewek mpaka viongoz WA juu wafe kwanza ndio kitaeleweka
ReplyDeleteWapigwe tuu kama hawataki kufata taratibu za nchi wacha wale mkong'oto na tena hivi sasa tunajiandaa kwa uchaguzi leteni upuuzi mpigwe tuu!
ReplyDeleteVOICE OF AMERICA wanafiki wakubwa walikuwepo waandamaji wakijita wall street activists walikunhutwa Enzi za OBAMA ila huku AFRIKA wanajidai uchochezi waulizeni JOUNALISTS WA AL JAZEERA walivyoshughulikiwa MISRI uhuru bia nidhamu ni wendawazimu
ReplyDeleteVIDEO SI HOJA MBONA IKO VIDEO YA MWANANCHI ALIYECHINJWA HUKU AKISALIWA KAMA ASALIWAVYO NGOMBE AU MBUZI KULE SOMALIA UVUNJIFU MKUBWA WA HAKI ZA BINADAMU ULIOKUWA UMEFANYWA NA AL SHABAB WAZUNGU HAWAKULAANI WAKIFIKIRI ALIYEKUFA NI MWAFRIKA LEO WAISLAM WENYE IMANI KALI ISIL INAWACHINJA WAZUNGU WAZUNGU WANAAMKA NA KULAANI IKUMBUKWE UGAIDI HAUNA MIPAKA
ReplyDelete