Polisi Yatangaza Kiama Kwa Wanawake Wanao Fanya Biashara Haramu ya Ngono Mitaani na Nyumba za Starehe

Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga Imetoa Mkwara Mkali kwa Wanawake wanaojiuza usiku katika mitaa na Kumbi mbali mbali za Starehe , Mkuu  huyo wa polisi amesema kuwa Bishara hiyo inaleta usumbufu kwa wakazi wa Mkoa huo pia inazidi kuvunja maadili kwani kwa sasa kutokana na uchunguzi uliofanyika mpaka watoto wadogo na wanafunzi wanajihusisha na biashara hiyo haramu , Inasemekana mpaka wanafunzi wanao kaa shule za boarding hutoroka usiku na kwenda kwenye kumbi mbali mbali za starehe ili kujipatia kipato kwa kazi ya umalaya..

Kamanda huyo amesema kuwa msako huo Utaanza Muda wowote kuanzia Sasa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad