Reginald Mengi kugombea Urais

Taarifa zisizo rasmi zinadai ya kuwa mwenyekiti wa IPP Dkt. Reginald Mengi ana mpango wa kugombea uraisi mwaka huu wa uchaguzi 2015.

Japo haijfahamika wazi kuwa atagombea kupitia chama gani au mgombea binafsi.

Katika kipindi cha hivi karibuni Mengi amekuwa akionekana kuwa mwiba kwa serikali kupitia maneno yake zikiwemo tweets na kupitia vyombo vyake vya habari huku akisisitiza uzalendo na uwajibikaji.

By Supu ya Mawe/Jamii Forums
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. akiupata huo uraisi ili aweze kujiwekea Utajili vizuri, kwa kila nyanja, ikiwa mmja wapo ya mfuta ajisajili ni mmliki halali aendelee kuwa Tajili, siasa ni mchezo mchafu sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUYU TAJIRI HAITAJI UTAJIRI MWINGINE NA SIFA MOJA KUBWA KWA NCHI ZILIZOENDELEA MGOMBEA LAZIMA AWE BILIONEA SOOO KAMA KWELI ATAGOMBEA NAMPA KURA YANGU

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad