Utata umeibuka baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italy aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya wanawake watupu.
Sister huyo mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye kikundi cha masista cha Santa Chiara Italy, asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia maumivu makali ya tumbo baadaye alianguka, madaktari walifika katika eneo hilo na baada ya kumfikisha Labour alijifungua.
Watu wengi wameshindwa kuelewa kwa jinsi gani ameweza kupata ujauzito licha ya kula kiapo cha usafi wa moyo na utii.
wao sio malaika!!! ni binadamu nao wengone wana madhaifu yao!!!
ReplyDeleteHutokea mara nyingi,ila namlaumu kwani baada ya kuona ameingia dhambini na kupata ujauzito angejitoa mapema kwa kutubu na pengine kuolewa na huyo mwenzi wake.
ReplyDeleteWengi tu wa namna hiyo mbona.
Ndio agejitoa tu
ReplyDelete