Soma Wazazi Walichofanya Kwa Mtoto wao Baada ya Kuibuka wa 48 Kati ya Wanafunzi 50 Katika Matokeo ya Mtihani

Wazazi wa mtoto mmoja walishindwa kuzuia furaha yao kwa mtoto wao ambaye kila mara alikuwa akishika nafasi ya mwisho darasani baada ya kuibuka nafasi ya 48 kati ya wanafunzi 50 katika matokeo ya Darasani hivyo kuwashinda wanafunzi wawili katika term hiyo .
Wazazi hao walimfanyia bonge la party kumpongeza kwa hatua hiyo pia walikwenda kutoa sadaka ya shukrani kanisani ...

Je wewe angekuwa ni mtoto wako ungemfanyia nini?

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ningemfanyia kama hai wazazi. Kweli kama ndo mara ya kwanza anastahili pongezi

    ReplyDelete
  2. Kwa hakika anastahili alivyofanyiwa coz ameongeza bidii na kila anavyofanyiwa hivyo ndipo atazidi kuongeza bidii na mwishowe atafaulu

    ReplyDelete
  3. anasitahili pongezi

    ReplyDelete
  4. mwandishi ulitaka tuchonge eeeeh....umedodaje sasa???!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad