Udaku Special
Baada ya kimya kidogo Ndugu zangu wote wanaume tunaoishi katika jiji hili la Dar es salaam, tumeshuhudia vibweka vya aina yake toka kwa baadhi ya vijana wanaojiita eti wanaume toka huko kanda ya ziwa kutulaani kwa kukimbia eti kuogopa panya road, niseme ukweli kwa niaba ya wanaume wote tuishio hapa hakuna aliyekimbia zaidi ilikua ni kuwatuliza kina mama watoto na wazee kutokana na woga walioingia na kuhofia kujeruhiwa na hao vijana panya road,
Sisi tulikua mstari wa mbele kuwangoja kwenye maeneo yetu ili pindi wakipita tuwashughulikie kisawasawa na si kukimbia kama baadhi ya vijana wa kanda ya ziwa walivyodai, na siku ile hatukulala hadi tulipohakikisha usalama umetulia na hali imekua shwari kabisa. Nawakaribisha wanaume wenzangu wa dar kutoa ya moyoni kwenu hapa dhidi ya udhalilishwaji huu.
Matusi na lugha chafu si msingi wa hoja hii karibuni
Tamko Rasmi la Wanaume wa Dar Es Salaam Kuhusu Panya Road
6
January 09, 2015
Tags
Hamna lolote msijifanye kutunisha misuli hapa, wakati mliwakimbia, mijaume mizima hata haya, nyie ndio wenye misuli lakini hovyo tu,
ReplyDeleteWanaume wa dar mdomo tu hamna lolote, bonye
ReplyDeleteMnabeba vyuma kuvutia warembo tu sio ubabe
ReplyDeleteWap nyie kumbe makunguru tyuu,kwanza wanawake zenu walifurah kinyama coz 12 mpo ndan,hakuna mchepuko
ReplyDeleteHahahahaha mwanaume kujiamini bana vifua na misuli hata panya wanayo.mmeaibisha sana.
ReplyDeletekwakweli kama misuli yenyewe ni kama ya huyo mwanaume wa katikati ni halali kukimbia.
ReplyDelete