Tetesi:Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia Mashine

Ndoa ya Lazaro Nyarandu ambaye ni waziri wa Maliasili na Utalii na mrembo Faraja Kota iko 'ICU'

Kwa mujibu wa Mwanafamilia wa Waziri huyo hapa Arusha amehabarisha kuwa wawili hao kwa sasa wametengani sababu ikiwa ni kukosa uaaminifu kwa bwana Lazaro.

Kwa sasa Nyalandu yupo kwenye Hekalu lake Njiro Jijini Arusha na Faraja yupo kwa wazazi wake Dar es salaam.

Nyalandu anatuhumiwa kujirusha na vimada kwenye mahoteli makubwa hasa ya New Africa akiwa Dar es salaam ana hata nje ya Nchi.

Kilichomtia nyongo zaidi ni tuhuma za hivi karibuni kuwa mimba ya Aunty Ezekiel ni yake naame wanaendeleza uhusiano huku wakitaraji mtoto wakati wowote.

Nyalandu kwa sasa anahaha kumtuliza mkewe kwa kila jinsi na leo amemtumia ujumbe kupitiakipindi cha Clouds FM cha Leo tena kuwa anampenda sana na ni tulizo la roho yake.

Pia anahaha kunusuru ndoa yake ili ajiweke vizuri katika nia yake ya kugombea Urais October 2015.

~Jamii Forums

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkeo mzuri sana,anajiheshimu,wee kutwa kuendekeza umalaya.
    Wee Nyarandu vipi? AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  2. HEEEE MAMA YANGUU WEEEE WE NYALANDU NINI WEWE????? JAMANI WANAUME KHA!! faraja anajiheshimu saana tena saana !!Kha jamani

    ReplyDelete
  3. wanaume hawatosheki sijui wakoje kama urembo mbona faraja mrembo shida iko wapi

    ReplyDelete
  4. Hata hivyo Faraja ni mwanamke jasiri sana,ni mvumilivu na anajua kuilinda ndoa yake,kama kweli amefikia uamuzi wa kuondoka na kurudi kwao basi uzalendo umemshinda.Ushauri wangu naombeni muyamalize,na Nyalandu Ubadilike basi jamani,khaaaa!

    ReplyDelete
  5. Acheni udaku mnaminije Ni kweli

    ReplyDelete
  6. Faraja mbona kamzidi kwa mbali Aunt Ezekiel, tatizo la Waziri Nyalandu ni nini!?

    ReplyDelete
  7. Looooooooh! Aibu!... hata haya huoni baba zima hilooooooooooooooooooo
    👊👊👊👊👊👊👊

    ReplyDelete
  8. ������������

    ReplyDelete
  9. halafu anataka urais au sio yeye huyu?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad