Upatikanaji wa Ngono Kirahisi Uwafanya Vijana Wengi Kuchelewa Kuoa hasa Mijini

Kuna sababu nyingi zimetolewa kwa vijana kushindwa Kuoa na Kuolewa, nyingi kati ya hizo ni za kiuchumi na kujifanya wanajipanga kimaisha.

Ukweli ni kwamba watu wengi hawaingii kwenye Ndoa kwa sababu wanapata kirahisi tendo lenyewe la Ndoa.

Msingi wa Ndoa sio tendo la Ndoa pekee, kunafaida nyingi katika Ndoa hilo liko wazi kabisa.
Lakini ukwel ni kwamba tendo hili la ndoa lina msukumo wa pekee na ushawishi mkubwa katika kuanzisha mahusiano ya ndoa.

Maeneo ambayo vija upenda kupunguzia mahitaji yao ya Ndoa ni kwenye Madanguro, Bar, Massage parlour, makaburini.

Ukweli kungekuwa na Tamaduni au Sheria kali zinazodhibiti matendo ya Ndoa holela ndoa zingekua nyingi.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hii mada iko upande mmoja....upande mwingne bila kuwepo kwa madada poa...ubakaji ungeongezeka...harassments kama kidnapng na hizo...child sex and abusements .....etc.....kuna madhara meng sana yanazuiwa kwa kuwepo kwa madada poa..ni watu muhimu sana kwenye jamii.yoyote

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa mdau hapojuu umenena

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad