Licha ya kumtaja kwenye ufisadi huo ambao kwa mujibu wa Mdee, Chenge ndiye alikuwa Waziri wa Wizara yenye dhamana na ATCL, pia alimtaja kuhusika katika kashfa nyinginezo ikiwemo suala la utoaji takribani Sh bilioni 200, katika iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow ya Benki Kuu (BoT)
Angalia Hapa Chini Video Jinsi Halimaa Mdee Alivyokuwa anawalipua Bungeni:
MDEE YOU HAVE SELF CONFIDENCE I HAVE NEVER SEEN B4......Ila unazungumza ukweli mtupu raia kuweni macho na serikali hii mbovu
ReplyDeleteHuyu naye. Ngonjera ni zile zile. Hatuoni kama kuna hatua zozote za maana za kuzuia aina hiyo ya uhalifu. Tangu Chenge na Simba wameanza kutajwa katika kashfa mbalimbali za ufisadi hatujawahi kusikia hata siku moja kama wamewahi kufikishwa Polisi halafu Mahakamani. Ngonjera zinaishia hapo hapo Bungeni halafu Bunge likiisha ndio hao wameondoka wanaenda na kuzitayarisha Ngonjera nyingine kwa ajili ya Bunge litakalofuata. Jamani sisi wananchi wa kawaida TUMECHOKA na HIZO NGONJERA ZENU.
ReplyDeleteKwa hiyo kama mwananchi wa kawaida unatakaje? Huyo mbunge akae kimya kwa kuwa chama chako CCM kinafaidi? Pumbavu wewe...
DeleteKama mwananchi wa kawaida ninachokitegemea ni kwa huyu mwanasiasa uchwara kuja na mapendekezo yanayotekelezeka. Kwanza ni kuwasweka ndani watuhumiwa na Pili ni kuwafungulia mashtaka na kuwapeleka Jela. Na pia wafilisiwe mali zao zote ikiwamo fedha walizokuwa nazo kwenye account zao. Hilo ndilo ninalolitaka lifanyike na sio hizo ngojera za usiku na mchana zisizokuwa na tija. Halafu kwa taarifa yako hilo sio suala la Kichama ni suala la Kitaifa...........fungua macho yako uone na masikio yako usikie. Jitahidi sana kupanua huo wigo wako finyu wa ufahamu wa mambo. Natumaini huna tatizo la mtindio wa akili.
DeleteHon halima mdee, jaza msuli mtu wangu, piga kelele weeeeeeeeezi haooooooooo sisuemu, mtu asikuzibe mdomo
DeleteIngia na wewe ccm tuji achie na ma vyezaaaa
ReplyDeleteWEZIIIIII JAMANI WANANCHI TUAMKE SASA TUMEIBIWA SAANA
ReplyDelete