Safari ya vijana wa tatu kutoka Nzega waliotembea siku 37 kwa miguu huku wamevaa magunia kufikisha ujumbe kwa Rais Kikwete yaishia mikononi mwa Polisi.
Polisi Wamewakamata na kuwazuia wasiendelee na safari yao kwa vile hawakufuata utaratibu wa kumuona Rais na Pia hawana Kibali .
Vijana hao walikuwa wasisitiza hawana haja ya kuchukua kibali chochote wala kufuata utaratibu ila wanachotaka ni kumfikishia ujumbe Rais Kikwete.