Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.
Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!
mjini watu wanatembea kwa gari, wanakula vyakula feki( chipsi) mwili hauna mazoezi kujifungua kunahitaji mwili uwe active kwa wakijijini wanatembea muda mrefu wanakula mlo mzito,miili yao ina afya na nguvu
ReplyDeletePIA WANAOGOPA KUUMWA UCHUNGU
Deletekwel wadau mjin tigo ni tatizo
DeleteWENGI WETU TUNAMICHEZO MICHAFU SO UKIRUHUSU KUJIFUNGUA KAWAIDA UTAUMBUKA WAKATI WA KUZAA SI UNJUA MJINI TIGO SANA!
ReplyDeleteNIKWELI WENGINE WANAONGEA KABISA NA DAKTARI WAKATI WA KRINIKI ETI WE UTASEMA NYONGA HAZITANUKI NICHANE TUMBO TU
ReplyDeleteWENGIMNE WANASINGIZIA MTOTO MKUBWA AKISHAFANYIWA MTOTO NUSU KILO JAMANII KWELI WATU WASANII
ReplyDeletemishimo ipo ya kutosha kabisa waliyojaliwa kwa kila mke basi tu hizo tigo ndo zinawaponza
ReplyDelete