“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi na haki kwa jamii”. Mwisho wa kunukuu
Kitendo cha kumuomba msahani mwanadada Wema ni kitendo cha kiungwana pongezi kwenu Mtanzania natumai Wema kwa uungwana wake atawaelewa.
Wema Sepetu Apigiwa Magoti na Gazeti la Mtanzania na Kuombwa Msamaha
2
January 27, 2015
Tags
Vp sasa mnamlipa au mana sometime kuchafuana bila mpango sio ishu mjue. Mi ningekuwa wema mngenilipa fidia pumbavu zenu.
ReplyDeleteTunataka tuone na yeye pia huyo Wema awaombe msamaha Watanzania hasa walalahoi waishio Dar es Salaam kutokana na tukio lililotokea pale nyumbani kwake la kuwapiga na karibu kuwapotezea maisha vijana wawili walalahoi ambao mpaka leo hii hatuelewi hatma yake ni nini. Wale vijana wawili wabangaizaji walipigwa mpaka wakazimia pale nyumbani kwake. Mbona hatusikii hatua zozote za kisheria zikichukuliwa dhidi yake???????? Tunataka tujue ni kwa kiasi gani sheria itafuata mkondo wakevili liwe fundisho kwa wale wote wanaojiona wako juu ya sheria na hasa hao mastaa uchwara kama huyo Wema.
ReplyDelete