Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 10.
Martin ameiambia Bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo.
“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema,” amesisitiza.
“Kwahiyo tunashangaa ni kama ambavyo wanazusha sijui kafumwa na nani ni uongo mtupu. Lakini nashangaa media ambazo zinaaminika zinaamua kuandika story bila kumpigia simu mhusika au meneja na kuuliza ukweli wa hiyo story.”
Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 – Martin Kadinda Afunguka
6
January 22, 2015
Tags
KAMA INAWEZEKANA KULISTAKI GAZETI KWA KUANDIKA HABARI ZA UONGO MFANYE HIVYO HARAKA SANA. !!!I ILI IWE FUNZO KWA MAGAZETI YANAONDIKA UONGO
ReplyDeleteUyo kaka meneja naye si msenge tu hana lolote
ReplyDeleteTatizo ni kwamba huyo demu haja move on na maisha yake. Bado anajihangaishahangaisha na Diamond. Mwenzake kaishajipatia Zari wake na yuko ana move on na maisha yake. Yeye huyo Kicheche yuko hapo hapo anahangaika tu. Wanaume hawataki sasa anabakia uzushi tu. Mfyuuuuuuuu hana lolote. Namshauri a move on na kuacha kuyatilia nuksi maisha ya Diamond.
ReplyDeleteKiherehere mwingine niyule Mange alokauka kila mahali Diamond akisemwa vibaya anayabeba hebu mpumzishe mwana wa mwezio roho mbaya tuu
ReplyDeletewema amemove on alafu hivi watu ni lazima mtukane endless fame wanafanya kazi nzuri sanaa big up guys wema ni brand
ReplyDeletewewe anonymous hapo juu wema alishawai kukuita akakwambia haja move on eeh au upashukuna tu ata alipoenda kwa penny si mlisema amemove on mbona aliludi kwa wema shenzi wewe ebu mtu wema kumove on mpaka aonyeshe mwanaume anae lala nae..wewe amabe sio kicheche una nn ata vitz huna mshezi wewe
ReplyDelete