WEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.

Kwamujibu wa GPL,akizungumzia sababu za kumwagana na Diamond, alisema pamoja na sababu nyingine, Van Vicker alihusika kuwafanya wamwagane na mpenzi wake huyo waliyedumu kwenye penzi zito lililokuwa gumzo kila kona ya Bongo.

“Kuna vitu vingi vimechangia lakini Van pia amechangia, alianza ku-like picha zangu, nikamwambia Dai (Diamond), akaniambia achana naye, baadaye tulibadilishana namba, tukawa tunawasiliana.
“Ilipofika wakati amenitaka tufanye kazi pamoja, nilipomwambia Diamond ndiyo matatizo yalipoanzia hadi kufikia hatua ya kuachana,” aliweka nukta Wem

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asante wema kuweka uwazi kuwa sababu ya weye kuwachana na diamond ni weye mwenyewe siyo diamond ame kucheet wafahamishe ma shabiki zako na kisha weye meenyewe ukasema kama weye ndiye uliye mbwaga diamond sasa kwanini mashabiki zako wanatukana sana diamond kuwa na zari ambapo weye ulichaguwa kati ya diamond na van veckar ukachaguwa van veckar ulihisi ndiyo atakaye kusupport kwenye maisha yako SO please fanya interview wambilishe ukweli mashabiki wako watuliye na weye mwenyezi mungu atakufunguliya kheir utafanyikiwa katika maisha si ivo umerudi kusimamiya na kampuñi yako ALL THE BEST 2015

    ReplyDelete
  2. NYAU WA BLUU ACHA KUTAFUTA KIKI KWA NGUVU. PENZI KWISHNEY BASI. UNATAFUTA WACHAWI WA NINI? ETI JAMAA KA LIKE PICHA ZANGU DUUUUUU

    ReplyDelete
  3. Sasa kinachosababisha umtukane nn watu wengine na akili zao wanazijua wenyewe,kiufupi alikuwa hataki mwenzie atoke hataki maendeleo ya wema huyo malaya mchafu na anachokifanya sasa hivi ni stress tupu hakuna jipya,atafute kiki na malaya km huyo zari ndo ametafuta kiki kwa wabongo mpk amezipata before kuna mtu alikuwa anamjua.

    ReplyDelete
  4. hakuna mkamilifu

    ReplyDelete
  5. anonymous wa 9.14 AM acha ujinga wewe ndiye pumba pamoja na huyo malaya wako anayefuata waume za watu hiko ghana, si alihongwa benzi< na huyo anayejifanya ni meneja wake wakati si umeneja ni ukuahi siajabu naye kashamlamba bi mkubwa. ajiangalie mara 2 huyo bi mkubwa umri unakwenda na siku hazigandi kama alivyoimba lady jay dee, bora na huyo zari, hata mungu akimchukuwa kuna jina kaacha (watoto)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama Wema mwenye miaka 26 ni Bi mkubwa basi huyo Zari mwenye miaka 36 atakuwa Bi Kizee, kwikwikwiii mnakazana kutukanana mitandaoni wakati wenyewe wakikutana watakunywa kahawa na shampeni pamoja.

      Hivi huwa hamjifunzi tu kuwa hao watu wako kwenye enterteinment industry? Kiko wapi sasa hivi Wema Jokate na Penny ni marafiki wa kupika na kupakua wakati mlitukanana wee kwa ajili ya hao watu. Hahahahaaa wajinga ndio waliwao malizeni bundle zenu kwa matusi wenzenu wanaingiza mahela.

      Delete
  6. Zari malaya na wema ni nani kabla ya kusema zari malaya kamuulize mama yako baba yako ni nani mwache akupe jibu.
    mwacheni chibu kama amechukuwa malaya ndiyo raha yake mana katoka kwa wema malaya kenda kwa zari malaya kisha wema mwenyewe anakubali kosa lake sababu ni van veckar sasa nyiye mnataka wema awe na chibu wema akitaka kuruka na mwengine yende akafanye yake akichoka arudi kwa chibu chibu ndiyo ana mdhalilisha wema ama wema ndiyo anamdhalilisha chibu kuhongwa na wanaume mpaka gari inaletewa mlangoni na uyo shoga kuwadi anatangaza kuwa yeye ndiyo kanunuwa KISHA tumesoma magazeti kuwa wema yeye ndiyo anatanganza kuwa yeye KA MBWAGA CHIBU.

    ReplyDelete
  7. WEMA ANATAFUTA KIKI SASA !!!!

    ReplyDelete
  8. Hana mpya wala hana mapenzi na diamond ila ana roho mbaya hamtakiyi diamond kheri hata sumu anaweza kumpa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad