Wolper Katika Utapeli wa Pesa Kwa Kutumia Simu, Mwenyewe Adai Sio yeye ni Wolper Fake

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap  yake anaeka picha yangu na namba hii.0713 872 165 ipo na nyingne inaishia 40 ." Wolper aliandika kwa masikitiko na kuweka picha hiyo hapo juu.

Tabia hii haifai na haivumiliki hebu tumsadie Wolper kwenye hili kwa kuakikisha tuna mbamba huyu FEKI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad