Mchezo Mzima ulikuwa hivi:
Zari alipost picha na maneno haya hapa chini :
'Bday s/out to my soldier Raphael aka Didi.... love baby. Throwing u a bigggggg parrrrryy once we touch base in SA'
Shabiki mmoja katika hiyo post akaandika hivi :
'Hata Bday haupo nae Maskini Mtoto'
Sasa Hapo ndipo palipo mgusa Zari na Kufunguka Hivi Hapa Chini:
'Don't come here pretending to know my f**cking life or my kid's life or anything about us. Keep ur f**cking miserable low life a*s where it belongs just don't act like u know us..Just don't talk about my Kids...Stay off ma kids issues they ain't your issues to handle but ma god damm Business'
Je, wewe unamtazamo gani juu ya hili?
~udakuspecially.com
Cheche kweli huyo mwanamke I will never put anybody above my kids,sasa huyo mwanamke ameona starehe ni bora kuliko watoto? Masikini watoto watapata matatizo ya kisaikolojia ukubwani kama Diamond na huyo Zari mwenyewe kwa kutelekezwa na wazazi wao.
ReplyDeleteWatoto wa matajiri ndio maana wanakuwaga mcharuko, baba mtu yuko anakula bata kivyake, mama mtu kivyake watoto wanalelewa na Nanny. Maisha haya bora masikini yuko karibu na wanawe huku wanashindia zao dagaa na dona lakini wana amani na furaha moyoni.
ReplyDeleteUkweli unauma,
ReplyDeleteSikukuu watu huspend na family zao,yeye kutwa kujichoresha ktk mitandao.
Akinangwa anakuwa mkali.Warembo wapo wengi na wana wapenzi ila si malimbukeni kama hawa.Its ur goddam life don't sell it,we are tired .
Kwani nyie tu ndo mwajua kupendana!!Kalee watoto!!
yaaan huyu demu na huyo domo ndo wamekutana wapenda sifa kila sehemu wapo washenz unasahau ht wanao x mass uko na dai mwaka mpya uko nae huna cha kufanya
ReplyDeleteJAMANI HAYO NI MAISHA YAKE!!! PILIPILI SHAMBA MWAWASHA NA NINI??
ReplyDeletekweli ni miserable witches ndio kutwa kufwatilia maisha ya wengine ya kwao yame wavundia. Hivi hizo besidei za watoto wenu mmekuwepo mara ngapi kama si ushuzi hewa kuwajaa kwa ubongo. Mijanamike mingine hasara tupu kuwa duniani.
ReplyDelete