Zari na Diamond Mguu kwa Mguu, Mbona Haikuwa Hivyo Kwa Wema Sepetu?

KATIKA mambo yanawaacha hoi wapenzi wa pea ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu ‘Madam’ ni ukaribu uliopo hivi sasa kati ya Zarina Hassan maarufu kama Zari ‘ The Boss Lady’ na nyota huyo wa muziki Afrika kwa sasa.

Zari ambaye alianza kuonekana na mkali huyo katika utolewaji wa tuzo za Channel O mwezi Novemba, amekuwa akimsindikiza Diamond katika kila shoo anayokwenda hivi sasa, ukilinganisha na ilivyokuwa kwa mpenzi wake wa siku nyingi Wema Sepetu kitu ambacho kimeleta maswali mengi kichwani kwa watu kama kweli alikuwa akimpenda kwa Dhati .

Je wewe una maoni gani juu ya Hilo Swala?

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sina maoni kwani naona hayanihusu,na kupiga kimya siwezi.

    ReplyDelete
  2. Wema alimuachia ndo maana akakutana na Zari. Zari yeye mwenyewe mwizi ndio maana anakaba mpaka, "PENALTI"!

    ReplyDelete
  3. Yatachujuka hivi karibuni.

    ReplyDelete
  4. hayana mda mrefu huu mwaka hauishi hakuna zari wala diamond huyo mama anatakiwa akalee wanawe

    ReplyDelete
  5. Hao watoto wa Facebook wanaomsema Wema malaya, huyo Zari Diamond ndio bwana wake wa kwanza? Huko kwao anaitwa bedhopper, mwacheni Wema wa watu, tatizo liko kwa Diamond inaelekea hawezi kutongoza wanawake wagumu.

    ReplyDelete
  6. Huyo Zari ndio anamganda Diamond kwa sababu hana kazi ya kufanya, angekuwa ana shughuli za maana zakumuingizia pesa angekuwa yuko busy na shughuli zake. Sasa huyo ndio mwanamke mtafutaji na mchakarikaji aliyetwambia Diamond?

    ReplyDelete
  7. mi napita tu waungwana

    ReplyDelete
  8. jamani mi napita tu shikamoon

    ReplyDelete
  9. Idara ya mapenzi katika Wizara ya Diamond inakifu. Nipenda Idara ya Muziki tu.

    ReplyDelete
  10. UKIMWACHIA DIAMOND ANACHUKULIWA NA WENGINE SI SUKARI YA WAREMBO

    ReplyDelete
  11. jamani mwacheni Diamond kwan ZARI ni moto mkali kuliko Wema na mapesa anayo
    mwacheni kijana ajinome!

    ReplyDelete
  12. Anakula ujana,ukiisha atatulia mwenyewe

    ReplyDelete
  13. naona nimekosea njia,,,,,,napita tu waheshimiwa.

    ReplyDelete
  14. MWACHENI DIAMOND AFAIDI JAMANI MBONA MNA WIVU SAANA?? WEMA ALIMWACHA MWENYEWE BABY WAKE WENZIE WAKAMCHUKUA SASA KELELE ZA NINI?

    ReplyDelete
  15. KWA WEMA ALIKUA ANAOGOPA . KWASABABU MASHABIKI WANAWEZA KUMTAKA WEMA KULIKO YEYE...NAMPENDA MPENDA WEMA......BURUNDI

    ReplyDelete
  16. wanaume wengi wanapenda kutembea na watoto wazuri,wabaya waaachwa ndani mbona hilo liko waziiii

    ReplyDelete
  17. mh classy zinatofautiana na uwezo! Zari yupo vizuri huwezi linganisha na miss tandale wetu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad