Aunt Ezekiel: Wanao Nizushia Kuwa Nimejifungua Wametumwa na Mapepo Wabaya..Wanikome Kabisa

Udaku Special Blog: STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama .....
wametumwa na mapepo wabaya.

Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty alisema anawashangaa wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo.

Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli.  Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wakuwache muke ya lazaro nyalandu miaka 100

    ReplyDelete
  2. NGOJA NHIESABU VIZURIII , MAREKANI ULIENDA MWEZI GANI VILE? SUBIRI NTAKUTAJIA UTAJIFUNGUA LINI. ACHANA NAO HAO HAWANA DATA KAMILI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa taarifa tu ni kwamba,wakati anaenda marekani alikuwa tayari na mimba.
      Tunasubiri data kamili mdau.

      Delete
  3. Naona mwanae atafanana na wale watoto wa Faraja.hahahaha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad