Aunty Lulu Awaendea Kwa Mganga wa Kienyeji Wabaya Wake Wanaomfanyia Mambo Mabwana zake Wayeyuke
1
February 08, 2015
MWIGIZAJI asiyekaukiwa matukio Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa amekwenda kwa mganga (babu) Mtwara kwa ajili ya kuweka zindiko wabaya wake wasimsumbue.
Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu alisema kuna wabaya wake wamekuwa..
wakimfanyia ‘mambo’ mabwana zake wayeyuke hivyo hayupo tayari kuona nyota yake inafifia.
“Nimeona bora nikarekebishe kidogo maana mjini kila kukicha watu wanakutafuta na kukuharibia mambo yako, niko fiti sasa,” alisema Aunty Lulu.
Tags
Haya mambo ya kuamini sana mambo ya kishirikina yaturudisha nyuma sana kimaendeleo na pia yanaleta chuki na kuvuruga amani na upendo ktk jamii yetu wewe una claim watu wanakuvurugia mambo yako break ya kwanza kwa babu anakuongopea unamuachia pesa kibao bila mpango wowote kama kitabia ni zero ktk mapenzi utabikia hivyo hivyo tu kila patner atakukimbia tu "CHARITY STARTS AT HOME" U dig it?
ReplyDelete