MTANGAZAJI na muigizaji wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amezua tafrani la aina yake baada ya kutinga kwenye baa moja iliyopo maeneo ya Mwananyamala jijini Dar akiwa nusu utupu.
Tukio hilo lilitokea juzikati ambapo Lulu alipoingia alipita katikati na kwenda katika kaunta ya baa hiyo huku akijitingisha makusudi na kusababisha wanaume waliokuwa wamekaa kwenye baa hiyo wapige kelele wakimtaka aondoke.
“Hii sasa ni sifa haiwezekani atuvalie kigauni kifupi namna hii, akibakwa atasemaje? Hatukubali, bora ingekuwa usiku, tumwambie mwenye baa kama anataka amtoe huyu au sisi tuondoke, hata kama tuko baa lakini tunajieheshimu,” alisikika mmoja wa wanaume hao.
“Huu ujinga bwana sisi tunajiheshimu, hawezi kuvaa hivi tena inaonesha hana hata kufuri, bora niondoke eneo hili,” alisikika mwanaumwe mwingine na kuondoka zake.Hata hivyo, meneja wa baa hiyo aliwasihi watu kubaki na kumvumilia lakini wengi wao waliamua kuondoka kwa hasira.
Waandishi wetu walipomuuliza sababu ya kufika pale na kiguo hicho alisema kuwa alifika kwa mambo yake muhimu na kukutana na rafiki zake Isabela Mpanda ‘Bela’ na Baby Madaha hivyo kama wateja wengine wamemsusuia, watajijua.
Aunty Lulu Azua Tafrani Baada ya Kuzuka Bar Akiwa Nusu Utupu, Wengi Wachukizwa
5
February 15, 2015
Tags
han alolote alikuwa anatafuta wanaume tu
ReplyDeleteMalaya tu huyo! Muuza k maarufu anajulikana muda tu
ReplyDeleteJanamke hata alijieshimu, sio mpaka uambiwe vaa vizuri, jieshimu mwenyewe, hata kabla wengine hawajakueshimu, ndio maana tuna nguo za kuvaa vizuri ili tueshimike na kwa wengine
ReplyDeleteHajiheshimu, jiheshimu, hawajakuheshimu, tuheshimike. Baraza la Taifa la Kiswahili mpo? Kiswahili ndio hivyo tena, huko tunakoenda watoto wetu sijui wataongea kiswahili gani maana hii ni aibu. mtu aliyesoma darasa la kwanza mpaka la pili hajui kutofautisha 'e' na 'h' majanga!
ReplyDeleteUCHAFU MTUPU PUU
ReplyDelete