Diamond Apondwa Kusafiri na Kundi Kubwa la Watu Kwenye Show ama Safari zake za Kustarehe

Blogger Mmoja Maarufu Amemshukia na Kumshauri Diamond Kuhusu Kusafiri na Kundi kubwa la watu wasiokuwa na Ulazima Pale anapoenda kufanya show ama kustarehe ..

Ameandika hivi :

"Anyways,wewe kama mtanzania unaonaje hizi swagga mpya za Diamona kusafiri au kufatwa nyuma na kundi la watu wakiwemo mameneja wake, ndugu,mpiga picha, etc….
Kwa maoni yangu naona kama mameneja wake wanampoteza tu. Itakuwa kaambiwa akitaka kuonekana ni big star basi lazma awe anafatwa nyuma na kundi la watu everywhere he goes.,,,,,
Nimemuelewa kidogo sababu labda kaona mastaa wakubwa wakubwa duniani huwa wanakuwaga na entourage kubwa ya watu ila jamani they can afford kuwa na watu wote wale… Some of them make over 10million dollars a year sasa kulipa watu wote hao kumfata fata ni pocket change kwake. Tayari wana utajiri ambao hata wajukuu zao watakuja kuukuta ,wana majumba in every city wengine mpaka Palm Jumeirah Dubai wana mavacation home sasa huyu kijana wetu ambae mpaka leo bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga kwanini analipa watu kumfata fata nyuma hivi? wakati it’s very unnecessary"

Je wewe unaonaje kuhusu Hili Swala?

Post a Comment

36 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SURE KASHAULIWA VIZURI INGAWA NAJUA WATAPONDA

    ReplyDelete
  2. Hili suala kwakweli halituhusu!! Kama anawagharamia yeye au wanajigharamia wenyewe watajiju!!

    ReplyDelete
  3. HAWANA GHARAMA HAO MIKIA WAKE HATA HIVYO!!! ACHA ATEMBEE NAO...AKIWABADILISHA NGUO NA KUWAPA ZA RANGIRANGI NA KASHAMPENI WANYWE WOTE AU VIROBA KWENYE RED CUP WANARIDHIIIIIKA...FRESH TU! NA OFCOZ INAMPA DOMO KIKI....SO, TUMUACHE ALALE

    ReplyDelete
  4. Ya Ngoswe ........................

    ReplyDelete
  5. Mwajuaje kama hilo kundi zima wengine anawalipa kama security yake....sioni tatizo hapo....mwacheni aringe

    ReplyDelete
  6. MANGE KASEMA UKWELI, ANAJARIBU KUMUAMSHA NASSIB,MBONA YA MOTO BEND IMEENDA UK PEKE YAO, NGOJENI SIKU AKIWA KAMA MR NICE TO MTAANZA KUMSEMSA MAMEJA WAKE WANA NYUMBA YEYE MWAKA WA 10 BADO KAPANGA NA KILA SIKU KIKI ZA WANAWAKE. TUTAYAONA MUDA SI MREFU.

    ReplyDelete
  7. kweli domo apunguze msururu wa watu anataka kuonyesha wa tz anazo si mbaya lakini siku akiishiwa hatomuona meneja wala mpiga picha, shule ni muhimu jamani.

    ReplyDelete
  8. Anaiga wanamuziki wa nje, wenzie wanapesa ndefu, kwa nini asiwe na meneja 1, sasa woote hao wanambeba au wengine wanabeba hirizi? na huyo ajuza wake hata mawazo hampi naye kama anamiaka 25 kumbe 41+

    ReplyDelete
  9. ALMASI ANAPENDA SHOW OFF SANA ANAFIKIRI HATOSHUKA NA MWANAMKE ALOMPATA SASA KICHWANI KUNA FUNZA, HANA HAMU NA WATOTO WAKE KUTWA KUJIONYESHA NA MIPICHA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama mwanamke aliyempata hafai kampe wewe 0713 yako ili atulie!

      Delete
  10. Mameneja 3 woote wa nini? bado dj, bado bordgad ba mpiga pisha bado zee lake bado wapambe lol kama huyo meneja kivuli salaam si muuza unga asubiri jua likuche atarudi shule bila vitabu.

    ReplyDelete
  11. kiki inamsumbua akiaambiwa anajiona wanamuonea wivu, ndo maana Mama yake anaumwa kwa mengi, nahuyo Zari si angehamia kwa Domo kwatwa kiguu na njia na mimba haikui.mtoto kafubaa!

    ReplyDelete
  12. tuliwaona wengi kama yeye na hawakuta kuwasikiliza watu kwa pesa walokuwanazo,leo wako wapi?? hakumbuki alikotoka mtoto wa tandale.

    ReplyDelete
  13. Kweli kabisaaa Nassibu apunguze watu kwani akisafiri na dj wake haitoshi? au hajiamini. na yule Majnuni wake 41+ hampi mawazo hata kidogo, ndo kwanza anaamka hata kuoga janaba hajui huyooo, kwenye garden kupiga picha. kazi ipo

    ReplyDelete
    Replies
    1. HATA AWE 51+ UNAWASHWA NA NINI?

      Delete
  14. HIVI HUYO MAMAA WAMSITU WA CONGO MIMBA HAIKUI? AU UJANJA WA KUMLA DOMO NA SIDIRIA YAKE KAUKA NIKUVAE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ACHA WIVU WAKO WEWE!!!!!!!!!

      Delete
  15. WEEEH AMEPANGA!!!!!!? IS NOT MAKE SENCE TRY TO ASK HIM WELL

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kimombo hakipandi andikeni kiswahili tu wajemeni. It was supposed to be it doesn't make sense..........

      Delete
  16. fata yako ufanikiwe

    ReplyDelete
  17. HE! WEWE UMEKUJA LINI MJINI? HIVI HUJUI KAMA DOMO MPAKA LEO ANAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA? NYUMBA ANAYOJENGA HAIJAISHA MPAKA WACHINJA MBUZ NA UCHAWI KIBAO, SOMA MAGEZETI HAYAWANI MPEVU.

    ReplyDelete
  18. Kama mtu anakosea lazima aambiwe Nassib kapata group baya. huyo babu tale ananyumba labda salaam ndo muuza unga tena kafulia anajipendeka sana asikose pa kula. Domo anaona sifaa kutwa kupigwa picha anapenda watu wamzungumzie na bibi bomba wake hawajui wa uganda watammaliza siku si nyingi.

    ReplyDelete
  19. wewe Anoy 5:09 umetoka goba leo? hujui kama Almasi anaishi nyumba ya kupanga na mashauzi yoote,

    ReplyDelete
  20. Mange mpumbavu sana Yani anapenda kumuandika chibu na zari in negative way!! Yani kila anachofanya chibu na zari anaona kibaya anapoooonda!!! Sasa hata chibu akifirisika Ye anaumia nini??!! Wivu tuu mkomavu yulee!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. YEYE AMESHAURIWA ANA HIARI AFUATE AU AACHE, BUT HE SHOULD TAKE THIS INTO CONSIDERATION.

      Delete
    2. Tatizo lenu wengi mnataka kumpa 0717 Mr.chibu ndio maana mna gereeeeee!Wacheni walale na raha wazile!

      Delete
  21. asingekuwa anamchukia Dai, ningesema ule ni ushauri kwa nia njema, lakini ukifuatilia post zake utaona kwamba anatumia nguvu nyingi sana ku m diss Dai na yule demu mpya wa Uganda. amechukua nafasi ingine kukandia Dai kwa kisingizio cha kumpa ushauri. Sijui yule demu ana matatizo gani yani anapenda kushadadia vitu visvyomhusu kila kukicha, ndo mana hata wanaojiita mawaziri wana mng'ong'a sana, wanajifanya kumfagilia ukiwakuta wamekutana wanaongelea post flani ya huyu mama mdhungu ndo utajua kweli duniani unafki umekithiri, wanacheka vibaya mno. wakifika kwenye blog CEO, umenena, mangeritha umsema wkeli blablablabla..danganya toto. mama match .com kama wanaokujua walikushindwa waka kudrop like is hot, watakuweza hao washabiki maandazi wakupakao mafuta kwa mgongo wa chupa? we kama ulivyosema familia yako tu ndo wako real, blogguni, hakuna rafiki..ndo mana wengi hata instagram hawathubutu kutoa ID yao..wengi ni private, kwa vile ni two face, WAKE UP CALL MANGE. na pia asilimia kubwa wale wanaokulamba viatu ni choka mbaya, kwikwikwikwi, wanaojitambua, hakuna Anayekukubali na upuuzi wako. alamski mae!

    ReplyDelete
  22. Yani kuna watu watakuafa maskini tu hapa duniani kwa roho za chiki......hata mfanyeje aliyepanda atavuna tuuuuuu daima.Diamond ni international artist wa kwanza from TZ ambaye kavuka borders na ni creative anajua kucheza na soko. Watu hawafanyi commercial music nd mana wanaenda mbele hatua 3 halafu wanarudi nyuma 13 then wanajipigia makofi.....shiiiiiiit. huyu dogo mtamwombea dua sana ashuke lkn hatashuka leo wala kesho mtazidi kumwongezea baraka tu wapuuzi nyie......

    ReplyDelete
  23. Acheni wivu wewe angekuomba uweunasafiri nae kwenye maraha ungempa huo ushauri wamatumizi mabaya?Au kakwambiaga anaingizaga beigani kwamwezi?wewe kaachini upange bajet zako nafamilia yako mwache diamond ale jasholake.Wachawi km nyinyi hata kitaani kwetu mpo!

    ReplyDelete
  24. Hivi hizo hela mnamtafutia nyie? Kama kufilisika yeye na Mungu wake, kwani mna undugu nae. Washaurini ndugu zenu, mwacheni ale maisha yake ameteseka sana katika kutafuta mafanikio yake.

    ReplyDelete
  25. Nipo mtoni ' ila kwahali hiyo; sinampango wakurudi bongo sababu watu hawabadiliki wambeya' chuki wivu' wafiti; ila Siku nikirudi nagombea uraisi nikiupata tu naweka sheria mpya yakupambana na uchawi' ufitini' umbea' wivu' ujinga' umaskini' ulimbukeni' na uchoko.

    ReplyDelete
  26. MAWIVU YENU TU HAMNA LOLOTE

    ReplyDelete
  27. Diamond in rais wa wasafi. Kikwete ni rais wa nchi. Mbona Kikwete hamhoji anaposafiri na umati wa watu. Msibague... huyu ni rais pia! Huyu anayehoji kwani anagharamia yeye hao wapambe wake? Mind your business!

    ReplyDelete
  28. WAAAMBIE HAO !! ROHO ZINAWAUMA KWELI!!! WIVU UMEWAJAA MPAKA KWENYE KOPE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad