Diamond Atoa Sababu za Kushindwa Kuhudhuria Msiba wa Baba yake Dully Sykes

Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu ambazo amezitoa leo.

Diamond ambaye wakati msiba huo unatokea alikuwa Zanzibar na mpenzi wake Zari, ameelezea sababu zilizomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi.

“Watu waliniona niko zanzibar lakini walikuwa hawajui nimeenda kufanya nini,” Diamond

ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM. “Usiangalie kila unachokiona Instagram ukajua mtu labda kwasababu alikuwa anafanya starehe.

Niko katika kipindi ambacho sio kizuri kwangu mimi na familia yangu kwasababu kuna vitu ambavyo siwezi kuvizungumza lakini, na siwezi kuviweka kwenye media ndo maana watu wengine wanaweza kuniona nacheka lakini […kwanza mama yangu anaumwa na anaumwa sana sijawahi kulizungumza hili ndo nalizungumza hapa, hapa ninapoongea na wewe yupo India, kuna vitu vingi vinaendelea, siwezi kusema nilikuwa Zanzibar nafanya nini

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inajulikana znz ilikiwa bata batani ushahidi wa picha upo wazi

    ReplyDelete
  2. Domo mnafik, mbona alimchukua na mpiga picha kabisa ili watz ajue ana enjoy siku ya wapendanao na zee lake. asipindishe ukweli kakosea sana.

    ReplyDelete
  3. ALMASI ALIKUWA ZNZ NA ZARI ILI KUWAONYESHA WATU WANAPENDANA SANA, SASA ANAJIKOSHA KWA KUWA HAKUMDHAMINI RAFIKI YAKE KWENYE MATATIZO MAZITO, KWELI BI SANDRA ANAUMWA SANA YEYE ANA BEBANA NA MATENDE KWA FURAHA? KAMA ANAMATATIZO NI MIMBA KUTOKA MAANA TUMBO HALIONEKANI TUNAONA KIKI ZA KITANDALE TU.

    ReplyDelete
  4. Nassib alichokifanya si kizuri kila mtu anajua,anajaribu kujisafisha kiaina, alikuwa znz anaona starehe kwake muhimu kuliko kuzikana, labda zari atamzika mama yake.

    ReplyDelete
  5. huyu dogo hajawahi kuwa na mwanamke mweupe sijui ni ulimbukeni au kumuonyesha wema anafaidi sana, mpaka kuwasahau watanzania wenzie tena kwenye msiba! pesa zinamwisho na bi kizee atakutaifisha utakuja juta kuwa nae.

    ReplyDelete
  6. kama hawezi kusema alikuwa anafanya nini zanzibar na pia anakanusha hakwenda kufanya starehe, basi ALIENDA KULOGA ILI MAMBO YAO YAKAE VIZURI

    ReplyDelete
  7. Nyiye wote mnalaumu mmefika msibani .
    Kisha hata kama kenda kwenye starehe zake kisha fanya booking zake plan yake kisha kuzika ni majaliwa na hapo msibanu chibu tuu ndiyo hajafjka katika wa sani wote w taz wacheni roho mbaya ya kinafiki kwa mwenzenu

    ReplyDelete
  8. kwenye shida ndio utajua rafiki wa kweli na mnafiki!! zile shout out za kusapotiana kwenye fb,twitter na insta kumbe its nothing just furahisha umati tu! jamani am living zanzibar na na some of my families n friends wanaishi mainland tunafiwa na tunafika there on time tena msiba wenyewe dar jamani ! msiba wa kiisilamu unajulikana hauna mambo mengi , 3 to 4 hours ingetosha kuenda msibani na kurudi znz, flight znz to dar 20 mins hakuna place znz i mean beach hotel yoyote utadrive more than 1 hour to air port sasa huyu ana excuse gani jamani bora angenyamaza tu, sasa anatafuta excuse ati mama ake mgojwa yes we heard that but mlipinga kua c kweli n we believed u coz someone who care abt their mom lyk u chibu bata ataweka pembeni amuuguze mzazi wake that y niliamini mama chibu c mgojwa coz najua u love ur mom very much that u can not have bata openly like that wakati mama yupo kitandani hell no c wewe chibu nikujuae kwenye mitandao coz yes i dont know u personally ..... udaku na nyie msibanie comment yangu mana ningekomenti kwa unstoppable angeifichabble !

    ReplyDelete
  9. Mbona mna lawama sana, kwani bila yeye domo msiba hakufanyika? sijaona umuhimu wa yeye kuwepo, ondoene uzuzu mnamkweza acheni hizo.

    ReplyDelete
  10. ..acha visingizio, mama yako anaumwa mbona karejea toka india anadunda vizuri tu, hata angekuwa anaumwa huko znz ndo ulikuwa unamuuguza?

    ReplyDelete
  11. Nonsense kabisa, sema ulikuwa umebanwa na bibie na msiba umekutokea tayari upo vacation na uhakika ulishindwa kumuaga bibie ndo maana unatoa sababu ambazo hazimake sense, naamini ungekuwa na Emma ungekatiza hiyo vacation , kama mama yako anaumwa si umfanyie sala nyingi za kutosha?wewe huyo visiwani

    ReplyDelete
  12. chibu him self made us believe kua dully ni mtu wake wa nguvu kama mtu wako wa nguvu uko within tz kwanini usitokelezee kwenye MSIBA. same day kisha akasepa hakuwa na plan punje kujikosha tu bora angepiga kimya yakaisha kuzungusha maneno ooh mama mgojwa, hamjui nimeenda fanya nini c umeonesha umeenda fanya nini was v day right? anajitia kuplay victim apa hana lolote angekaa kimyaaa akajumlishwa na wengine asinge jibu swali wala asingetoa explanation kajichora tu kujitia braza dully braza dully my foot, kama ilivokua dai na wengine waliokua hawaja show up hawakuzidisha wala kupunguza ila KIUBINADAMU mond kwa ukaribu aliokuwa nao kwa dully wala hakupaswa kuacha kwenda mazishini asingerudisha baba ya dully ila angefarijika, watu tujifunze kuna wakati mtu anahijati comfort kutoka watu wake wa karibu c ya hela wala kurushwa kwenye ma ig nk kipindi cha msiba mtu huhitaji uwepo wa ndugu na marafiki majirani wawe nao karibu usiende na shiling kumi but mfiwa atapriciate na unamfariji vya kutosha kwa ufupi umechemka kujibu hili ungekaa kimya ingekua bora zaid>>friend in need is a friend indeed

    ReplyDelete
  13. WEWE UNAYELAUMU ULIENDA??????????????

    ReplyDelete
  14. NDIO ALIENDA.... NYOKO WEEEEE

    ReplyDelete
  15. Wanaume wazima mnalawama kama wanawake msiba umeisha kwisha nyiye mmo tuu na mtoto wawatu mwenyezi mungu amuepushe na husda zenu

    ReplyDelete
  16. husda anazitafuta mwenyewe tena kwa gharama yoyote aache kujionasha kila afanyalo nani anamlaumu? kapewa ukweli Domo alolifanya kwa dully sio zuri.

    ReplyDelete
  17. Kiukweli domo asingeweza kuhudhuria msibani the boss lady angemuacha wapi? Dully uelewe kuanzia sasa domo ni mnafiki kwako angekujali vitu vyote vingestop baada ya mazish anaendelea rafiki mnafiki huyo

    ReplyDelete
  18. alikuwa kwa mganga ndio habari nyepesi za mjini.....

    ReplyDelete
  19. Kwahiyo mazishi yalikuwa yanategemea Almasi aende ndio wazike? Hebu kuweni wastaarabu kidogo, awepo asiwepo aliyetangulia harudi duniani utoto mwingine bwana mxiuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad