Diamond na Zari The Lady Boss Wakielekea Kumpumzika Kisiwa cha Mahaba Zanzibar..Team Nanii Mpo?

Udaku Special
Unaambiwa Mtoto Zari Hakubaki nyuma siku ya Wapendanao , Kampandia ndege Diamond na Kutua Bongo , Hapo kwenye picha Wakienda zao Zanzibar kula Raha
DIAMOND amepost picha hiyo na kuandika #ValentineWeekEndInZanzibar

Una lipi la Kusema?

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aaaa miye ninalo basi!! mungu awajalie salama tu na wapate mtoto wao salama.!!!! very nice couple wameishinda hata ile ya kanye na kim. Brove diamond!!!

    ReplyDelete
  2. wako pouwa saana miye nimeipenda sana cpuple yao.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad