Video: Hii ni moja ya sababu za Diamond kuwapagawisha zaidi ‘ma-girlfriends’ zake?

Diamond Platnumz ameshare na mashabiki wake kuwa yeye sio mahiri wa studio na jukwaani peke yake, lakini ana kitu kingine ambacho huenda kikawa moja ya sababu za kuwapagawisha zaidi wasichana anaokuwa nao kwenye mahusiano.

Hivi karibuni amepost picha akiwa jikoni anapika huko Bangalore, India aliko sasa. Wasichana wengi hupenda sana kuona mwanaume anafanya kazi ambazo baadhi ya wanaume huona ni za kike.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HONGERA SANA WENGINE WANAFIKIRI MAPENZI NI KITANDANI TUU!!! MAMBO KAMA HAYO NDO YANAZIDISHA MAPENZI NA AMANI KATIKA MAHUSIANO AU KATIKA NDOA. SIO MWANAUME UNATAKA KILA KITU UFANYIWE MMNABOA SAA NYINGINE. KWA UTAFITI WANGU NIMEONA NDIO AMBAZO WANAUME WANAJITUMA KATIKA BAADHI YA KAZI ZA NYUMBANI ZINA FURAHA NA AMANI NA NDIO ZINAZOTUMU KWA MUDA MREFU. ZINGENI ZINADUMU LAKINI HAZINA FURAHA NA MAPENZI YA DHATI MTU ANAONA AFANYEJE NDO KAOLEWA TENA.

    ReplyDelete
  2. Udaku mmekosa vya kuandika video yenyewe ya sekunde,subiri mtatuletea chibu anamchamba demu wake iwe nayo story.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad