Gadner G Habash 'Ndugu Zangu Nawauliza Nimjibu au Nisimjibu Huyo Anayedhani Yeye Malaika Anayekosewa Yeye tu?'

Udaku Special blog 
Baada ya Mwanamuziki Lady Jay Dee Ambae alikuwa mke wa Gadner G Habash Kufunguka kisa cha kumuacha Habash  Hatimaye Gadner na Yeye amekuja na Hili Hapa Chini:
Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram:


Valentine hii naishi kwa hisani ya Mungu Muumba, napendeza kwa hisani ya @robbyonefashion, nakula kwa hisani ya kazi @efm_93.7 Efm, natamba kwa hisani ya @majizzo, nna amani kwa hisani ya washkaji wangu @abdallah_gunda na @edbyamps na lavi davi kwa hisani ya #VJM.
Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo anayedhani yeye malaika anayekosewa yeye tu??

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmjibu, asijafe yeye ndo malaika.

    ReplyDelete
  2. MPE ZA USO MKURYA WA VIJIJINI HUYO,KAKUACHA SASA ANALOLOMA NN.

    ReplyDelete
  3. Mjibu ili kubalansi.
    Wanawake wakishamchokka mume wanajifanya walikuwa jehanamu katika ndoa. Iweje ukae na mume asiyefaa muda wote huo ? tabia ya mtu haiwezi kuibuka ghafla lazima alikuwa nayo tu. Ukichoka maisha ya ndoa ondoka kwa amani.

    ReplyDelete
  4. Nakujua sana kwa busara na uchapa kazi wako...Ukimjibu utajiondolea heshima yako ndani ya jamii unayoishi..Move on najua inauma saana but , Busara inahitajika pande zote labda mngekaa chini mmalizane kistaarbu ..nyinyi ni kioo cha jamii !
    Haina maana kulumbana ,

    ReplyDelete
  5. Kwenda zako huko. Janaume zima maisha yamekushinda unabaki kwa hisani kwa hisani. Badala ya kupambana na maisha kama wanaume wengine wa shoka unabakia hapo kujibizana na mwanamke mmoja aliyekutupilia mbali kwa sababu ya ulevi na umalaya wako. Kubwa jinga wewe hilooooooooo.............

    ReplyDelete
  6. Mjibu bn,kanajiona kamungu mtu,cjui kapoje,kanapenda kuabudiwa tuu

    ReplyDelete
  7. ACHANA NAYE HANA JIPYA

    ReplyDelete
  8. km unapenda jibu sa unamuuliza nana mariyoo ww au unaumia sbb jide aludu tena kwako eti saizi ndiyo unajua umuhimu wa kazi aibu yako brother muache jide wetu ale maisha kwanza saizi amekuwa cute ile mbaya tokea akubwage pyeeee

    ReplyDelete
  9. Jibuuuuuuuu acha kuuliza

    ReplyDelete
  10. mianaume mingine mikuma tu inapenda kulelewa

    ReplyDelete
  11. Hahahahah huyo ndio Gadna Mchanga aliyezaliwa na kukulia Tanga, kule mipasho ilikotokea. Mwanaume rijali hajibishani hadharani na mwanamke aliyewahi kuwa mkewe

    ReplyDelete
  12. Jide kasema mwanaume anayemhitaji awe na heshima..... ampende toka rohoni.....!ajitegemee.... hata kama si tajiri lakini awe na uwezo wa kujitegemea/kujimudu kimaisha na siyo tegemezi ! akikohoa tu amwone mpenzi wake pale!....wewe sasa mbona kila kitu kwa hisani? kama umeachiwa kila kitu ....cjui ndo na lile ghorofa la kimara kwanini utuulize sisi? kaa kimya kula raha na ulichoochiwa hadi ujitegemeze! acha uchuro ! mtu mzima hovyooooooo!

    ReplyDelete
  13. siku zote ukweli utabaki ukweli hata kama mbele za watu unaongopa ukweli moyoni unao...piga kimya kwani ww na yy ndie mnaojua ukweli hakuna sababu ya kuanza kurushiana maneno hasa ukizingatia mliishi kama mume na mke

    ReplyDelete
  14. Kwani kakuambia kuwa yeye malaika?? hata hivyo miye namsifu kwa uvumilivu wake kwa muda wote aliokaa na wewe!!!! kwa ninanvyomjua Jide kasema kweli toka ndani ya moyo wake...kama unaweza kujibu pouwa jibu tuone basi sio kuuliza maswali tena!!!

    ReplyDelete
  15. Alianza Emmanuel Mbasha naye Flora akajibu, huku nako ameanza Jide na Gadna naye ni lazima ajibu ili tupate umbea wa kuhadithia mitaani tu, maana hatuta wasaidia chochote..............yaani kama hamjaenda shule vile.........kuachana ndio imekuwa tabu!
    Watu-wazima hovyooooooooo!

    ReplyDelete
  16. Tuondoleeni sinema za kitoto hapa!wewe Kama unataka kumjibu mjibu unapo tuuliza sisi unataka nini mbona mlipoanza kukwaluzana haukuja hapa nankutuuliza kuwa jamani eee Huyu mwana mke anataka kuniacha mnasemaje he niachike?Leo unatuletea ujinga eti unaomba ruhusa ya kumjibu.

    ReplyDelete
  17. Mithali 15:1

    Jawabu la upole hugeuza ghadhabu,

    bali neno liumizalo huchochea hasira.

    ReplyDelete
  18. Kaa kimya mario mkubwa wewe,
    bado hela za Jide ukahonge CBE,LOL!

    ReplyDelete
  19. mmepwelepwetana tulieni acheni usenge wakati mnaanza ilikua kimya kimya mnatombana huko muachane mtuletee zogo?we arifu kama unataka taarabu omba ajira kwa mzee yusuf

    ReplyDelete
  20. WANAWAKE TASA MARA NYINGI HUWA WAMECHANGANYIKIWA. ACHANA NAE HUYO. WE ENDELEA NA MAISHA YAKO.KANISA LILIMSHINDA NA SASA NDOA IMEMSHINDA.. MUACHE KAMA ALIVYO. POLE SANA KIJANA WETU.

    ReplyDelete
  21. wote mlimponda jide kumamae zenu na huyo gadna akatombwe na fisi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad