Eti Anataka kubadili Dini Tena na kuurudia uislamu upya ! limeandika gazeti la VISA , Ni baada ya kupata mwekezaji wa mwili wake mwenye imani ya Kiislam....Habari za Mjini zinatiririshwa na...
wambea wake kuwa muiagizaji huyo wa kichaga kwa sasa anawekwa mjini na jamaa mmoja mwenye pesa chafu ambae ni muuza magari anampa kila kitu Wolper ndio maana kwa sasa katulia tuli hana shobo na mtu ila tatizo ndio hiyo Dini tu ambayo inasemekana yupo radhi kuibadilisha kama jamaa atakuwa serious kufanya ndoa ...
Jack Wolper Kubadili Tena Dini , Safari Hii Aopoa Muuza Magari Muislam
6
February 19, 2015
Tags
Hapo hamna swala la dini,ni kupiga hela tu.
ReplyDeletehahahaha dat very true she is jst after money
ReplyDeleteChaga woman fuata mila na desturi hapendwi mtu hapo ila ni mkwanja wako kwa kwenda mbele au vp mamiye Wolper dini unaweza ukazi change kama kufuri mradi mkwanja tu uwepo mamiye Wolper
ReplyDeleteAnafata din bila.iman.ya dininni iman ya fedha fuck off.........
ReplyDeleteFEDHA MBELE JAMANI
ReplyDeletehuyu mdada anachezea dini mbona kisa hela jamani? kama umeamua kugawa tupu wolper gawa tu...lakini ujuwe murtad haki yake ni kuuliwa
ReplyDelete